Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Comrade Daniel Godfrey Chongolo akimkabidhi nyaraka mbalimbali Katibu Mkuu Mpya wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya nafasi hiyo katika shughuli maalum iliyofanyika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma

Previous articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 23,2024
Next articleHAKUNA NCHI ITAKAYOACHWA NYUMA-MAJALIWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here