marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

madritbet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

casinoroyal

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

queenbet

queenbet

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

Kitaifa

UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE  (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78

Written by mzalendo

Na. Mwandishi Wetu.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, utekelezaji wa  mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia 94.78 huku mashine mbili za kuzalisha umeme zikiwa tayari zimeshafungwa kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme.

Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 28 Desemba 2023 wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo wilayani Rufiji akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, Mwenyekiti wa Kamati aliyoteua Rais ya ufuatiliaji mradi wa JNHPP, Profesa Idris Kikula, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na TANESCO.

 

” Hatua iliyopigwa ya utekelezaji wa mradi huu kila mtu ameona kuwa ni kubwa kwenye hatua zote, mfano kwenye ujazaji maji wa bwawa la kuzalisha umeme, maji yamejaa kwa kiwango ambacho yanaruhusu kuzalisha umeme, pia ufungaji wa mashine ambazo zitatumika kuzalisha umeme, nafurahi kusema kuwa mashine mbili zimeshafungwa ambazo ni mashine namba Tisa na namba Nane na tunaamini kwamba mashine nyingine zitaendelea kufungwa kadri muda  unavyoenda ili kupata megawati zote 2,115.” Amesema Dkt. Biteko

Dkt. Biteko amesema kuwa, kufungwa kwa mashine hizo mbili kunatoa matumaini ya kutekeleza agizo la Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kupunguza changamoto za umeme nchini ndani ya miezi Sita ambapo sasa imebaki miezi mitatu ya utekelezaji wa agizo hilo kwani mashine hizo zitazalisha megawati 470 na kuingizwa katika gridi ya Taifa ili kuongeza kiwango cha umeme.

Ameeleza kuwa,  mashine namba Tisa itakapofika tarehe 2 Januari majaribio ya kwanza yajulikanayo kama dry testing yatakuwa yamekamilika na ifikapo mwezi Februari  tarehe 19 majaribo ya pili yajulikanayo kama wet testing yatakuwa yamekamilika tayari kwa kuanza kuzalisha umeme na kwa mashine namba Nane matarajio ni kuwa, na yenyewe majaribio yakamilike mwezi Februari 2024.  

 

Kuhusu ujazaji maji amesema kuwa,
Ujazo wa maji katika Bwawa la kuzalisha umeme ni mita za ujazo 166.65 juu ya usawa wa bahari ambayo yanatosheleza kuanza kuzalisha umeme kwani kima cha maji ambacho kinaweza kuzalisha umeme ni mita za ujazo163.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amesema kuwa, ni kweli kuna changamoto ya umeme hivyo kipaumbele kwa sasa ni kujikita katika kupata umeme wa uhakika na wananchi wana haki ya kujua hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali ili kuondoa changamoto hiyo.

Ili kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme, Dkt. Biteko ameelekeza TANESCO kuwa sehemu ya mkakati ya utunzaji mazingira, kwani baadhi ya watu wanachepusha mito na kuharibu mazingira hali ambayo inapelekea hadi umeme kutozalishwa wa kutosha na anayelaumiwa ni TANESCO hivyo amelitaka Shirika hilo kutenga fedha za kutosha ila kila mdau anayehusika katika usimamizi wa mazingira ahusishwe.

Pamoja na kupongeza wataalam kwa kazi nzuri ya ujenzi mradi wa JNHPP, amewataka kwenda kwa kasi zaidi kwani takriban watu milioni 63 nchini wanaitegemea TANESCO kupata umeme wa uhakika.

Vilevile, Dkt. Biteko amemtaka Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati kusimamia suala la TANESCO, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC)  na Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Nishati, kuja na mpango wa miaka 20 au 30 ijayo wa upatikanaji nishati kiwemo umeme kwani mahitaji yanazidi kuongezeka na Wizara ya Viwanda na Biashara ishirikishwe ili kuwa na mipango thabiti ya upatikanaji na usambazaji umeme ikiwemo kwenye viwanda ambavyo vinazidi kuongezeka.

Gharama za utekelezaji mradi wa JNHPP ni Trilioni 6.5 na Serikali imeshamlipa mkandarasi kampuni ya JV Elsewedy na Arab Contractors shilingi Trilioni 5.76 ambayo ni sawa na asilimia 87.83.

About the author

mzalendo