marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

holiganbet

grandpashabet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet Güncel Adres

vdcasino

betvole

İkimisli

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AZITAKA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA KUZALISHA MICHE

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa ziara ya kukagua vitalu vya miche inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Jiji la Dodoma pamoja na vikundi katika eneo la Mailimbili.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikagua vitalu vya miche inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Jiji la Dodoma pamoja na vikundi katika eneo la Mailimbili leo Desemba 21, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifurahia jambo na wanakikundi cha uzalishaji a miche alipofanya ziara ya kukagua vitalu vya miche inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Jiji la Dodoma pamoja na vikundi katika eneo la Mailimbili

Sehemu ya vya miche inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Jiji la Dodoma pamoja na vikundi katika eneo la Mailimbili vilivyokaguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, leo Desemba 21, 2023.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

…………….

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kuzalisha miche ili kuongeza nguvu katika zoezi la upandaji.

Amesema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua vitalu vya miche inazalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Jiji la Dodoma pamoja na vikundi katika eneo la Mailimbili leo Desemba 21, 2023.

Dkt. Jafo amezitaka mamlaka hizo za serikali za mitaa zaidi ya 180 kuwatumia wataalamu wa miti TFS ili kuzalisha miche kwa wingi ambayo inahitajika kwa kiasi kikubwa ili kufikia lengo la upandaji miti milioni 1.5 kwa mwaka kwa kila halmashauri.

Pia, amezielekeza halmashauri kutumia maeneo ya pembezoni mwa barabara zishirikiane na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara Mijiji na Vijijini (TARURA) kuandaa vitalu ili kupendezesha miji.

Aidha, Waziri Jafo amewataka wananchi kutumia mvua za vuli zinazonyesha katika baadhi ya maeneo nchini kuelekea masika kwa kupanda miti kwa wingi kama ambavyo viongozi wakuu wameelekeza.

“Nimefarijika kutembelea maeneo haya yanayozalisha miche hii ya miti mbalimbali na nawapongeza sana TFS pamoja na vikundi vya kijamii vinavyojishughulisha na uzalishaji wa miche kwani si tu wanasaidia upatikanaji wa miche lakini pia wamejitengenezea ajira,” amesema.

Halikadhalika Dkt. Jafo amesema kuwa maelekezo ya Serikali ni kupanda miti hivyo zimeanzishwa kampeni mbalimbali ambazo zinahamasisha upandaji wa miti 

Kwa upande wake Kamishna wa Uhifadhi wa Kanda ya Kati TFS Mathew Kiondo amewahimzi wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukua miche ili waipande na kuifanya Dodoma kuwa ya kijani.

Amesema pamoja na Wakala huo kuzalisha miche na kuigawa bila malipo kasi ya miwitikio wa uchukuaji wa miche bado ni ndogo kwani kati ya milioni moja ni 200 tu imeshagawiwa kwa wananchi.

“Tuna malengo ya kuibadilisha Dodoma kuwa nya kijani na ndio maana ili kuongeza kasi ya uzalisha wa miche tumeanzisisha greenhouse (kitalu nyumba) hivyo tunawaomba mje kwa wingi mchukue miche mkaipande,” amesisitiza Kiondo.

Naye Afisa Mazingira wa Mkoa wa Dodoma Salvatory Mashamba ametoa wito wa uonglozi wa jiji hilo kutenga maeneo ya wazi na kuwagawia wadau ili watayariushe vitalu.

Pia, amewashukuru TFS kwa utaraibu wao wa kuzalisha miche kisha kuigawa bure kwa wananchi hatua inayosaidia kuhakikisha upatikanaji wa miche unakuwa wa uhakika hivyo.  

About the author

mzalendo