Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akiwa na Viongozi wakionyesha Miongozo mara baada ya kuzindua mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Na.Alex Sonna-DODOMA
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Mkurugenzi wa Elimu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ….akielezea lengo la uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi uliofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma.
Mwakilishi Mkazi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)Bi.Sarah Gordon Gibson ,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila (hayupo pichani),akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Medeli na Shule ya Sekondari ya Kiwandani wakifatilia hafla ya uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akiwa na Viongozi wakionyesha Miongozo mara baada ya kuzindua mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akikabidhi Miongozo kwa wadau mbalimbali mara baada ya kuzindua mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi Medeli na Wanafunzi wa Sekondari ya Viwandani mara baada ya kuzindua Mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akiwa katika picha ya pamoja na Wadau mbalimbali mara baada ya kuzindua Mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akiagana na Mwakilishi Mkazi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)Bi.Sarah Gordon Gibson mara baada ya kuzindua Mpango wa utekelezaji wa mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa huduma ya chakula na lishe kwa wanafunzi wa Elimumsingi hafla iliyofanyika leo Novemba 16,2023 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa.