Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

grandpashabet sorunsuz giriş

meritking güncel giriş

jojobet

pusulabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

grandpashabet

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

pokerklas

betpark

sahabet giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

betsat

Gorabet

Featured Kitaifa

NEC YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza na wawakilishi kutoka Vyama vya Siasa kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayotarajiwa kufanyika katika Kata za Ng’ambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora na Ikoma iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara kuanzia tarehe 24 hadi 30 Novemba, 2023.

Vyama vya siasa vimehimizwa
kushiriki kwenye majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayotarajiwa
kufanyika katika Kata za Ng’ambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya
Tabora, Mkoa wa Tabora na Ikoma iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya,
Mkoa wa Mara kuanzia tarehe 24 hadi 30 Novemba, 2023.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele ametoa wito huo leo tarehe 16
Novemba, 2023 wakati akifungua mkutano wa Tume na vyama vya siasa jijini Dar es
Salaam.

“Vyama vya siasa kwenye zoezi
hili vitashiriki kwa kuweka wakala mmoja katika kila kituo cha kuandikisha
wapiga kura, lengo ni kushuhudia na kujiridhisha juu ya taratibu zitakazotumika
wakati wa majaribio ya uboreshaji wa Daftari,” amesema Jaji Mwambegele.

Amenongeza kuwa majaribio ya
uboreshaji yanafanyika kwa lengo la kupima uwezo wa vifaa na mifumo itakayotumika
wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika
nchi nzima kwa tarehe zitakazopangwa na kutangazwa na Tume.

Majaribio ya uboreshaji yatahusisha
kuandikisha raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi na atakayetimiza
umri wa miaka 18 kabla au ifikapo tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Kundi lingine litakalohusika
kwenye zoezi hili ni; wapiga kura wanaoboresha taarifa zao ambao wamehama
kutoka eneo moja la uchaguzi kwenda eneo lingine, waliopoteza au kadi
zilizoharibika, wanaorekebisha taarifa zao na kuondoa wapiga kura waliopoteza
sifa za kuwemo katika Daftari.

Majaribio ya uboreshaji yatafanyika
katika vituo 16 vya kuandikisha wapiga kura. Kati ya hivyo, vituo 10 ni vya Kata
ya Ng’ambo na vituo sita (6) ni kutoka Kata ya Ikoma. Vituo vya uandikishaji
vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

“Tume inatoa wito kwa wakazi
wa Kata ya Ng’ambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora na Kata ya
Ikoma iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kujitokeza kwa wingi
kushiriki katika majaribio ya uboreshaji wa Daftari na kutoa ushirikiano kwa
Tume wakati wote wa utekelezaji wa jukumu hili muhimu kwa mustakabali wa
Taifa,” amesema Jaji Mwambegele.

Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa vikishiriki katika mkutano huo wa Tume na Vyama vya siasa.
 
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa vikishiriki katika mkutano huo wa Tume na Vyama vya siasa.

Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) nao wakiwa katika mkutano hao.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uboreshaji wa majaribio wa Daftari La Kudumu la Wapiga Kura. 

 

BVR Kits zenye vifaa mbalimbali vinavyowasiliana ili kuchukua na kutunza taarifa za wapiga kura BVR Kits za sasa ambazo zinatumia programu ya android tofauti na BVR Kits za awali ambazo zilikuwa zinatumia programu ya Microsoft Windows.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akifafanua jambo wakati wa majadiliano. 

Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa wakichangia mada wakati wqa mkutano huo wa Tume na Vyama vya siasa katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Novemba 16,2023. 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima akifafanua jambo wakati wa mjadala na wawakilishi wa vyama vya siasa. 

About the author

mzalendo