Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

megabahis giriş

megabahis

norabahis

mavibet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

mavibet giriş

holiganbet

mavibet giriş

norabahis giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

bets10 sorunsuz giriş

kingroyal

vdcasino

jojobet

Featured Kitaifa

PROF. NGARUKO: OUT IMEIPIGA HATUA KUBWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET

Written by mzalendo

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa mradi HEET ambapo katika maeneo yote yanayohusu mradi huo kazi mbalimbali zinaendelea kutekelezwa kikamilifu.

Hayo yamesemwa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri elekezi Prof. Deus Ngaruko ambaye pia ni mratibu Mkuu wa mradi wa HEET alipokuwa akitoa ripoti ya utekelezaji kwa wativa, wakurugenzi, wakuu wa idara na vitengo vya vya OUT mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani kwenye kikao kazi cha siku mbili kuanzia tarehe 11 mpaka 12 Novemba, 2023.

“Kimsingi, OUT imepiga hatua kubwa sana katika utekelezaji wa mradi wa HEET na ninyi nyote kama viongozi wa chuo mnapaswa kufahamu na kuwa na uelewa wa pamoja kuhusu utekelezaji wa mradi hatua kwa hatua ili pale tunapopata changamoto tunaitatua kwa pamoja. Mpaka sasa tayari kwa upande wa kusomesha wanataaluma katika ngazi za Umahiri na Uzamivu tumeshapeleka wahadhiri 23 kati ya 24 tuliopangiwa. Kwa upande wa majenzi ya maabara za sayansi tumeshafanya kazi ya tathimini ya mazingira na masuala ya kijamii, tumeshapata mshauri elekezi wa mradi na kazi inayofuata ni kuwapata wakandarasi wa kujenga maabara hizo katika kanda saba (7) za OUT.” Amesema Prof. Ngaruko.

Hakika haya ni mafanikio makubwa na sasa tuendelee kufanya kazi kwa kushirikiana ili utekelezaji wa mradi ukamilike kwa wakati. Prof. Ngaruko ameongeza kwamba, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kupitia ufadhili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Benki ya Dunia kupitia usimamizi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inayosimamia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya kiuchumi nchini (HEET), kimekuja pia na mradi wa uwekezaji wa kituo cha Utafiti, Ubunifu na Ugundizi (ORIC) kitachojengwa Bungo mjini Kibaha ambacho kitasheheni viwanda, mashamba, mabwawa ya samaki na utakatishaji majitaka, mifugo, majiko na maabara za kisasa za sayansi na utalii zitakazotumiwa katika tafiti na mafunzo kwa vitendo.

“Kituo cha ORIC, kitakuwa na miradi mbalimbali ya uwekezaji. Wanafunzi na wahadhiri wa chuo hiki, watafanya tafiti zao moja kwa moja ili kuja na majawabu yenye kutatua changamoto za jamii katika shughuli za maendeleo. Wanafunzi wa mazoezi kwa vitendo, kazi za kujitolea na wasio na uwezo wa kujilipia ada watafanya kazi za uendeshaji wa kituo na kupata kipato kitakachowasaidia kimasomo. Wabobezi na wanasayansi kutoka taasisi nyingine za ndani na nje ya nchi pia watakaribishwa kutumia kituo hicho kwenye kazi zao za kitaaluma na kiutafiti.” Amesema Prof. Ngaruko.

Naye Naibu mratibu wa mradi, Dkt. Timoth Lyanga, akitoa taarifa za utekelezaji wa mradi wa HEET amesema mradi unaendelea vyema na sasa kinachofanyika ni kuhitimishwa kwa zoezi la tathmini za kimazingira na masuala ya kijamii (ESIA) na wakati huo huo mchakato wa kuwapata wakandarasi watakaojenga majengo ya maabara saba za kikanda likiwa linaendelea vyema.

Kwa upande wake mratibu wa mradi katika kipengele cha kuwaendeleza wanataaluma na upitiaji wa mitaala Dkt. Yohana Lawi, ameeleza kwamba mpaka sasa bado nafasi moja tu ndiyo imebaki kwa wanataaluma kwenda masomoni na nafasi nyingine zote zimeshajaa. Pia, kwa upande wa mitaala kazi mbili kubwa tayari zimekamilika. Kazi hizo ni kuwatafuta wahitimu (Tracer study) na Mahitaji ya soko (Market survey). Kazi inayoendelea sasa ni idara na vitivo kuitisha mikutano ya wadau na kisha kuwasilisha mitaala husika kwenye vyombo vya maamuzi katika ngazi ya chuo.

Aidha, mradi wa HEET unatoa ufadhili kwa wasichana na wanawake 1000 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya awali ya msingi (Foundation Program) katika michepuo ya Sayansi, Injinia, Teknolojia na Hesabu waliopitia changamoto mbalimbali zikiwemo kupata ujauzito wakiwa masomoni, umasikini, ukatili wa kijinsia na changamoto za maisha kwa jumla na hivyo kuwasababishia kukatisha masomo yao. Katika awamu ya kwanza wanafunzi 141 wamepokelewa na wanaendelea na masomo kwa kufadhiliwa kila kitu ikiwemo ada, malazi, nauli, bando na vishikwambi kwa ajili ya kujisomea.

Hivyo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa wito kwa wasichana na wanawake wote wenye sifa stahiki kutembelea tovuti ya chuo hiki ya www.out.ac.tz ama kufika kwenye vituo vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania vilivyopo katika mikoa yote Tanzania Bara na Unguja na Pemba Tanzania Zanzibar ili kupata taarifa zaidi na kufanya maombi kwa ajili ya awamu ya pili kabla ya tarehe Novemba 30, 2023.












About the author

mzalendo