marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

jojobet giriş

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

Uncategorized

RC MANYARA”TUNATAMANI TUIONE TANZANIA YOTE INAWAKA

Written by mzalendo

 

MKUU wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendinga,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy,akitoa hotuba ya ukaribisho wakati Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka,akizungumzia mikakati ya Wizara ya Nishati wakati wa  Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu,akizungumza wakati wa  Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendinga (hayupo pichani) wakati wa  Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

MKUU wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendinga,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

MKUU wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendinga,akiteta jambo na Viongozi  mara baada ya kufungua  Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

Na.Alex Sonna

MKUU wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendinga,ametoa wito  kwa REA na Wabia wa Maendeleo kuweka Mikakati ambayo itawezesha maeneo yote nchini kufikiwa na huduma ya Nishati ya Umeme.

Mhe.Sendinga ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Mwaka Kati ya Wabia wa Maendeleo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) uliofanyika Mjini Babati Mkoani Manyara.

”Tunatamani tuione Tanzania yote inawaka. Ni matumaini yangu kuwa katika Mkutano huu mtajadili na kuweka mikakati na mipango itakayowezesha wananchi vijijini kufikiwa na huduma bora ya umeme”amesema RC Sendinga

Aidha ameipongeza REA kwa usimamizi mzuri katika utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy,amesema lengo la Mkutano huo ni kutathimini utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini 

Naye Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, amesema kuwa Wizara ya Nishati itahakikisha kuwa fedha za Wabia wa Maendeleo zinatumika ipasavyo kwa ajili ya kusambaza nishati vijijini na kuleta tija kiuchumi.

Awali Meneja Miradi Umoja wa Ulaya, Mhandisi Francis Songela amesema kuwa Miradi hiyo imekuwa na mafanikio makubwa sana na wamejiridhisha baada ya kufanya ziara ya kukagua miradi na kuona kasi ya utekelezaji ni nzuri.

”Tumeona faida ya miradi hii hasa katika kuleta mapinduzi kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi”amesema Mhandisi Songela

About the author

mzalendo