Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimia na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPUĀ 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homela pamoja na Viongozi mbalimbali waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili katika Mkoa huo

About the author

mzalendo