Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

amgbahis

atlasbet giriş

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

megabahis giriş

megabahis

norabahis

mavibet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

mavibet giriş

holiganbet

piabellacasino giriş

norabahis giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

pokerklas

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

BODI YA AQRB YATAKIWA KUWACHUKULIA HATUA WATAALAMU WANAOKIUKA TARATIBU

Written by mzalendo
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godrey Kasekenya akizungumza na Bodi ya Usajili wa Wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) hawapo Pichani wakati akifungua mkutano wan ne wa bodi hiyo jijini Dodoma
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, Arch. Edwin Nnunduma akizungumza na wataalamu wa fani ya ubunifu na ukadiriaji majenzi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wan ne wa bodi hiyo, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akikagua mabanda kabla ya kufungua mkutano wa nne wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) jijini Dodoma.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya akitoa vyeti kwa baadhi ya wafadhili wa mkutano wa nne wa Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) jijini Dodoma.

 

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) wakimsikiliza naibu waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (Hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nne wa bodi hiyo, jijini Dodoma.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey kasekenya (wa nne waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) jijini Dodoma.

 

Na,Okuly Julius – Dodoma
 
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), wametakiwa kuwachukulia hatua wataalamu wote waliosajiliwa na Bodi hiyo ambao wanakwenda kinyume na taaluma hiyo.
 
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya wakati akifungua Mkutano wa 4 wa AQRB,kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa.
 
“Kuna wataalamu mmewasajili ila wengine kwa makusudi wanakiuka utaratibu waliowekewa na Bodi yenu ya kitaaluma hao msiwavumilie wafuatilieni na washughulikieni wasije wakawachafulia kazi nzuri mnayoifanya,”amesema Kasekenya
 
Mha.Kasekenya amesema ni vyema wataalamu hao wa kusanifu Majengo na kukadiria Majenzi waungane na kutengeneza nguvu ya pamoja ili waweze kupata mikataba ya Miradi Mikubwa na kuisaidia Serikali kuokoa gharama za kutafuta wataalamu kutoka nje ya nchi.
 
“Tambueni taifa linafahamu mchango wenu na linathamini wataalamu wa ndani na ndio maana Mhe.Bashungwa kama Waziri mwenye Dhamana ya Wizara hii anawashauri muunganishe nguvu ili muweze kupata tenda kubwa hapa Nchini na nchi itapunguza gharama ya kuwatoa wataalamu kutoka nje ya nchi,” amesema Kasekenya
 
Katika hatua nyingine Naibu Waziri huyo, amesema Wizara itaendelea kutoa ufadhili wa mafunzo kwa vitendo kwa wataalamu wa Taaluma za wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi nchini.
 
Pia amesema kuwa, Bodi itaanzisha mfuko wa maendeleo ya wanafunzi ili kuweza kutenga fedha za kusaidia vijana wenye taalamu za ubunifu majengo na wakadiriaji majenzi.
 
“Nimeambiwa katika mwaka huu wa fedha 2023/24 Wizara ya Ujenzi imetenga kiasi cha shilingi milioni 748 kwenye bajeti yake kwa ajili ya mpango wa mafunzo wa EAPP, nia ni kuongeza idadi ya wahitimu wanaopata mafunzo hayo”, amesema Mhandisi Kasekenya
 
Aidha, amezielekeza Bodi za AQRB, ERB, CRB na NCC ziweze kufanya kazi kwa ukaribu na kushirikiana ili kuhakikisha kuwa Taifa linafaidika na huduma za kitaalamu zinazotolewa na wataalamu na makampuni yaliyosajiliwa na Bodi hizo.
 
Kwa upande wake, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi, Arch. Edwin Nnunduma amesema kuwa wanampango wa kusajili wataalamu 5000 kufikia mwaka 2026, katika kada za kati.
 
“Serikali kupitia Bodi hii tumejipanga kukagua miradi zaidi ya 3014 kwa Taasisi binafsi na Serikali kwa ujumla, pia ameongeza kuwa juhudi zinaendelea kuweza kusajili wataalam pamoja na Makampuni.” amesema Arch. Nnunduma
 
Halikadhalika, Arch. Nnnunduma amesema kuwa ili kuboresha utendaji na ufanisi wa wafanyakazi, Bodi inatarajia kuanzisha mfumo wa kieletroniki kwa watumishi wote.
 
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji majenzi (AQRB) inaendelea na Mkutano wake wa 4 kwa siku mbili jijini Dodoma.

About the author

mzalendo