Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

MHE BALOZI OMAR – SOKO LA HISA LIWE NGUZO YA UCHUMI SHINDANI NA KITOVU CHA UWEKEZAJI AFRIKA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), akipokea tuzo maalumu ya kutambua mchango wake katika Sekta ya Fedha, kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Bw. Peter Nalitolela (kushoto), katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Daniel Ole Sumayan (kushoto nyuma) na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), CPA Nicodemus Mkama (katikati).

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, ambapo alieleza namna Serikali ilivyojipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha huduma za kifedha, masoko ya mitaji na uwekezaji katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Bara la Afrika kwa ujumla.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Bw. Peter Nalitolela, akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), wakati akihutubia katika hafla hiyo.

Meza kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), wakifuatilia Makala maalumu ya kuelezea historia ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya DSE yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Meza kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa Kozi ya Uwekezaji na Uuzaji wa Hatifungani na Hisa (SIT), iliyoendeshwa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya DSE yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Meza kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya DSE yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam

Serikali imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha huduma za kifedha, masoko ya mitaji na uwekezaji katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa kuwa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lina nafasi muhimu katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Hayo yamesema na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yenye kaulimbiu “Miaka 30 ya Kuchochea Ukuaji Jumuishi wa Uchumi na Uwekezaji Endelevu”, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Mhe. Balozi Omar alisema katika kipindi cha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa DSE, soko hilo limekua kutoka kuwa taasisi yenye shughuli chache za uwekezaji na kuwa moja ya nguzo muhimu za mfumo wa kifedha nchini kwa kuwezesha kampuni, Serikali na taasisi zake kupata mitaji ya muda mrefu kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo.

“DSE imechangia kuimarisha uwazi, utawala bora wa kampuni, nidhamu ya kifedha na kuongeza ushiriki wa wananchi katika umiliki wa uchumi kupitia uwekezaji kwenye hisa, hati fungani za Serikali na kampuni, sukuk pamoja na mifuko ya uwekezaji” alisema Mhe. Balozi Omar.

Aidha, alieleza kufurahishwa na ongezeko la matumizi ya teknolojia katika uwekezaji, hususan kupitia huduma ya Hisa Kiganjani, ambayo imeongeza ushiriki wa wananchi katika soko la mitaji na kuimarisha ujumuishaji wa kifedha.

Mhe. Balozi Omar aliongeza kuwa, Serikali imeendelea kunufaika na maendeleo ya soko la mitaji kupitia uhamasishaji wa rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, akitolea mfano Hati Fungani ya Miundombinu ya Samia, Hati Fungani ya Stawi ya TCB Bank pamoja na Hati Fungani ya Kijani ya Tanga UWASA.

Aidha, Mhe. Balozi Omar alisema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025-2030 unahitaji sekta imara ya fedha na masoko ya mitaji yenye uwezo wa kukusanya akiba za muda mrefu na kuzielekeza katika uwekezaji wenye tija kwenye sekta za miundombinu, nishati, maji, viwanda, kilimo, madini, uchumi wa buluu, makazi, afya, elimu na uchumi wa kidijitali.

“Nawataka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) pamoja na wadau wa sekta hii kuendelea kuimarisha mazingira ya maendeleo ya soko la mitaji kwa kuboresha mifumo ya udhibiti, kulinda maslahi ya wawekezaji, kurahisisha taratibu na kuhakikisha soko linaendelea kuwa la uwazi, ufanisi na kuaminika” alisema Mhe. Balozi Omar

Alitoa wito kwa taasisi za umma, mashirika ya umma na taasisi nyingine za kimkakati kutumia zaidi fursa za soko la mitaji kupata fedha za muda mrefu kwa ajili ya kufadhili miradi ya maendeleo badala ya kutegemea bajeti ya Serikali pekee, huku akihimiza Benki Kuu ya Tanzania (BoT), CMSA, DSE na taasisi nyingine husika kuendelea kuimarisha elimu ya fedha na uwekezaji kwa wananchi ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kuweka akiba, kuwekeza na kushiriki kikamilifu katika umiliki wa uchumi wa nchi.

“Nasisitiza umuhimu wa DSE kuendelea kuwekeza katika teknolojia za kisasa, kuimarisha usalama wa mifumo ya kidijitali na kupanua huduma za uwekezaji kwa vijana, wanawake na wajasiriamali, huku akihimiza ushirikiano wa masoko ya mitaji barani Afrika ili kunufaika kikamilifu na fursa zinazotokana na Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA).

Kwa Upande Wao Mwenyekiti wa Bodi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Daniel Ole Sumayan na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Bw. Peter Nalitolela, walisema katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, DSE imebadilika kutoka taasisi iliyokuwa ikitegemea ruzuku ya Serikali kwa asilimia 100 hadi kuwa kampuni inayojitegemea kifedha, inayopata faida na kuigawia Serikali gawio kila mwaka tangu ilipoorodheshwa katika soko la hisa mwaka 2016.

Walibainisha kuwa Mafanikio hayo yanaakisi ukuaji wa soko la mitaji nchini na mchango wake katika kuimarisha sekta ya fedha na uchumi wa Taifa huku katika kipindi hicho, kampuni 29, zikiwemo kampuni 22 za Tanzania na saba za kigeni, zimeorodhesha hisa zao katika DSE, huku matoleo 43 ya hati fungani za kampuni binafsi pamoja na hati fungani mbalimbali za Serikali yakiorodheshwa sokoni.

“Matumizi ya teknolojia yameongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji, ambapo idadi ya akaunti za uwekezaji (CDS Accounts) imeongezeka kutoka akaunti 2,000 mwaka 1999 hadi kufikia zaidi ya akaunti 868,000 mwezi Juni 2026, hatua aliyoieleza kuwa ni ushahidi wa kuongezeka kwa uelewa na imani ya Watanzania katika masoko ya mitaji” alisema Bw. Sumayan.

About the author

Alex Sonna