marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

Featured

DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI-NGARA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko (wa Sita kutoka kushoto) akikata utepe kuashiria umeme kuwaka rasmi katika Kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera.

…………

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme  katika baadhi ya vijiji vya wilaya ya Bukombe mkoani Geita,  Biharamulo, na leo amewasha umeme katika kijiji cha Ntanga na Kasharazi wilayani Ngara, Mkoa wa Kagera.

Akizungumza na wanachi katika kijiji cha Ntanga na Kasharazi, amesema kuwa, Wilaya  ya Ngara ina vijiji 75 ambapo mpaka sasa vijiji 43 tayari vina umeme na kwa vijiji ambavyo bado havina umeme, amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini  (REA)  kuhakikisha kuwa, vijiji hivyo vinapelekewa umeme na baadaye kuanza mpango wa kupeleka umeme kwenye vitongoji.

Amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 49 kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini mkoani Kagera ikiwemo wilaya ya Ngara hivyo amewaahidi wananchi kuwa umeme utafika kwenye maeneo yote.

Katika hatua nyingine, Dkt.Biteko ameagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wakandarasi wa umeme kuhakikisha kuwa wanatoa kipaumbele cha matumizi ya vifaa vya umeme vinavyozalishwa ndani ya nchi ikiwemo nguzo, mita na transfoma.

“Nchi hii tulihamasisha ujenzi wa viwanda vya kuzalisha vifaa vya umeme, lakini muda mwingi utaona tunajishughulisha na kununua vifaa nje ya nchi, tunatumia Dola nyingi kuagiza vifaa vya umeme wakati tuna viwanda vipo ndani, natamani mjengee uwezo viwanda vyetu vya ndani ili viweze kuzalisha zaidi na hivyo tukuze uchumi wa watu wetu.”amesema Dkt. Biteko

Amesema kuwa, viwanda hivyo vimejengwa ili viweze kusambaza vifaa kwa TANESCO, REA na wakandarasi wa umeme hivyo si sahihi kwa vifaa hivyo kuagizwa kutoka nje ya nchi.

 

Akiwa katika Kijiji cha Kasharazi, Dkt.Biteko ametoa kompyuta 10 kwa shule ya sekondari Rusumo B ambayo imeunganishwa na umeme ili kuanzisha darasa la kompyuta katika shule hiyo ambapo pia amewaasa wanafunzi hao kuwa kuwa na nidhamu na juhudi katika masomo.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Ntanga wilayani Ngara Mkoa wa Kagera wakati alipofika kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko (wa Sita kutoka kushoto) akikata utepe kuashiria umeme kuwaka rasmi katika Kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera mara baada ya kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera mara baada ya Naibu Waziri Mkuu, Dkt.Doto Biteko kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.

About the author

Alex Sonna