Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pusulabet, pusulabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

coinbar

coinbar

maxwin, maxwin giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betewin

interbahis

casinofast giris

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

nakitbahis

bets10

jojobet

tambet

ultrabet

mislibet

mavibet güncel giriş

setrabet

pulibet

perabet

timebet

deneme bonusu veren siteler

coinbar

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

mislibet giriş

mavibet güncel giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet

mislibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mislibet

mavibet giriş

mislibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

fenomenbet, fenomenbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

https://ganeshpoojakit.com/

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MAJALIWA: VIONGOZI WA DINI TUSHIRIKIANE  KUPIGA VITA  DAWA ZA KULEVYA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa lililofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma

……

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu ya mbalimbali ya dini nchini waendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya . 

“Tushirikiane kupambana na biashara na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yameathiri zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa.” 

Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba 28, 2023), alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid lililofanyika Kitaifa jijini Dodoma kwenye kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete.

“Matumizi ya dawa za kulevya yana madhara mengi kwa Taifa yakiwemo ya kiuchumi, kiafya na kimazingira pamoja na kuathiri uwezo wa mtu kufikiri”

Pia, Waziri Mkuu ametoa rai kwa viongozi wa dini waendelee kukemea vitendo vya mmomonyoko wa maadili katika jamii na wawahamasishe waumini kushiriki katika shughuli zitakazowaongezea kipato. 

Kadhalika, Waziri Mkuu amewataka wananchi waendelee kudumisha amani nchini kwa kuwa amani ni jambo la msingi katika maendeleo ya Taifa. “Tuendelee kuishi kwa amani na upendo pamoja na kuliombea dua Taifa na viongozi wakuu. ” 

Wakati huo huo, Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kuwahakikishia wananchi kuwa Serikali itaendelea kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na matumizi mabaya ya madaraka, hivyo waendelee kuiamini Serikali yao. 

Awali, Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema kuwa Baraza hizo linaridhishwa na utendaji kazi wa Rais Dkt. Samia za kuwaletea watanzania maendeleo katika Sekta za Uchumi, Siasa, Kijamii pamoja na kuboresha mfumo wa demokrasia nchini.

Aidha, Alhaj Mruma ametumia fursa hiyo kuiomba Serikali iongeze wigo wa kutoa elimu ya uraia kwa kushirikiana na viongozi wa dini ili kuwawezesha wananchi kupata uelewa na washiriki katika chaguzi zijazo ukiwemo wa Serikali za Mitaa inayotarajiwa kufanyika 2024.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajabu Shaban  alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa, Septemba 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

   

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa lililofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid  lililofanyika kitaifa kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kuhutubia akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid  lililofanyika kitaifa  kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 28, 2023. Kutoka kushoto ni Mkuu wa WIlaya ya Chamwino, Gift Msuya, Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbanga na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna