Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

meritking

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

SERIKALI IMETOA JUMLA YA DOZI 180,000  KWA HALMASHAURI 26 KUDHIBITI KICHAA CHA MBWA

Written by Alex Sonna

 

 

KAIMU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw.Arbogast Warioba,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Na.Dotto Kwilasa-MPWAPWA

 Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kichaa cha mbwa,zaidi ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu hapa nchini huku mkoa wa Dar es Salaam ukiwa unaongoza kuwa na idadi nyingi ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma , Morogoro na Arusha.

Akizungumza leo Sept 28,2023 wakati wa siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani iliyofanyika katika wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Arbogast Warioba amesema kuwa katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti 201,2023 jumla ya watu 20,005 walitolewa taarifa ya kung’atwa na Wanyama.

Amesema kutokana na hali hiyo Serikali imechukua hatua za kuudhibiti ugonjwa huo kwa kutoa jumla ya dozi 180,000 za chanjo ambazo tayari zimesambazwa katika halmashauri 26 nchini kuanzia septemba mwaka huu ambapo jumla ya mbwa 20,426 na paka 740 wameshakuchanjwa.

Ametaja mikoa minne inayoongoza kuwa na matukio ya kung’atwa na Wanyama ni Dar es Salaam, matukio 3,321, Dodoma matukio 3,136,Morogoro matukio 1,559, na Arusha matukio 1,155 na takwimu hizo zinajumuisha wananchi waliopata huduma katika vituo vya afya.

Pia amesema ugonjwa wa kichaa cha mbwa unakadiriwa kusababisha takribani vifo 59,000 kwa mwaka duniani, ambapo asilimia 36 ya vifo hivyo hutokea katika bara la Afrika, pia asilimia 30 hadi 50 ya waathirika wa ugonjwa huo ni watoto chini ya miaka 15 kwasababu ndio huwa karibu na mbwa wanaofugwa kwa muda mwingi, pia hupenda kucheza,kuchokoza mbwa wasiomfahamu njiani.

“Vimelea vya ugonjwa wa kichaa cha mbwa vinapoingia katika jeraha hushambulia mfumo wa fahamu kuanzia katika eneo la jeraha, kuelekea katika uti wa mgongo na hatimaye kuathiri mfumowa kati ya fahamu (ubongo)” amesema

Pamoja na hayo ameeleza kuwa katika juhudi za kudhibiti ugonjwa huo Serikali imeendelea kutoa elimu kwa umma, kuboresha utekelezaji way a afya moja nchini, kurahisisha upatikanaji wa huduma za chanjo ya kichaa cha mbwa kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kurahisisha upatikanaji wa huduma ya chanjo kwa Wanyama hasa mbwa na paka.

Amesema Serikali imeshiriki katika michakato ya kidunia ambayo imewezesha mwaka huu 2023 Shirika la Usambazaji Chanjo Duniani (GAVI) kuridhia chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kichaa cha mbwa (Anti -rabies) kuingizwa katika mfumo wa chanjo za kawaida ambapo gharama zinatarajiwa kushuka zaidi pale taratibu za utekelezaji wa jambo hilo utakapokamilika.

Kawa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa afya ya mifugo ngazi ya jamii Stanford Ntabalema ameeleza kuwa ugonjwa huo huishi kwenye baadhi ya Wanyama wa porini ikiwemo popo ambapo husambaa kupitia Wanyama wa nyumbani kwa kuambukizwa.

“Mbwa na Wanyama wengine wenye virusi vinavyosababisha kichaa cha mbwa huweza kuambukiza bila kuonesha dalilizozote,hivyo ni muhimu mtu yeyote aking’atwa na mbwa au mnyama mwingine atoe taarifa kwa mtaalamu wa mifugo ili hatua husika zichukuliwe,”alisema

Naye, mwakilishi wa wizara ya Afya Dk.Robert Kishimba amesema ugonjwa huo ni hatari na hautibiki ambapo kati ya watu 1000 wanaong’atwa na mbwa ni mmoja tu anayeweza kupona hivyo ni lazima kuuepuka kwa kuwakinga Wanyama kama mbwa,paka na wengine .

Aidha jamii inapaswa kuepuka tabia hatarishi za kumchokoza mbwa au kumpiga ikiwa ni pamoja na kuelimisha watoto wwasicheze na mbwa wasiyemfahamu.

Naye mtaalamu wa magonjwa ya mbwa Ofisa mifugo wilaya ya Kongwa Dk.Kisimba Benjamin ameeleza kuwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa huanza kipindi cha baridi ambapo dalili zake ni mbwa kutoa ute usioisha,mbwa kung’ata vitu ovyo,kuogopa maji,kubadili tabia na kupoteza fahamu .

KAIMU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw.Arbogast Warioba,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bi.Irene Milinga,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

 

Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw.Arbogast Warioba (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Mwakilishi wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Gerald William,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

MWAKILISHI wa Mkurugenzi wa huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt.Rogath Kishimba,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Afya ya Jamii ya Veterinari Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt.Stanford Ndibalema,akizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,bunge na Uratibu Luteni Kanali Selestinr Masalamando,akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

KAIMU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw.Arbogast Warioba,akiangalia Mbwa wakipata chanjo ya Kichaa cha Mbwa wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Wananachi mbalimbali wakiwa wamewaleta Mbwa kupata chanjo ya Kichaa cha Mbwa   wakati wa maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

KAIMU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw.Arbogast Warioba,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhutubia maadhimisho ya siku ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika leo Septemba 28,2023 wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

About the author

Alex Sonna