Featured Kitaifa

TARURA YAMALIZA CHANGAMOTO YA BARABARA KATA YA NANYANGA, WILAYANI TANDAHIMBA.

Written by Alex Sonna

Na Mwandishi Wetu, Tandahimba – Mtwara

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia Mradi wa RISE, program ya uondoaji vikwazo vya barabara (Bottleneck) imekamilisha ujenzi wa kalavati sambamba na matengenezo ya barabara ya Mwindi – Mnauke yenye urefu wa kilomita 8 katika Kata ya Nanyanga wilayani Tandahimba, mkoa wa Mtwara.

Kukamilika kwa mradi huo kumeondoa changamoto ya usafiri na usafirishaji katika Kata hiyo na vijiji vya Miule, Nanyanga na Milongodi ambavyo ni wazalishaji wakubwa wa zao la korosho katika wilaya ya Tandahimba.

Wakizungumza na Maafisa kutoka Kitengo cha Habari cha TARURA wakati wa ziara maalum ya kutembelea miradi ya RISE inayofadhiliwa na Benki ya Dunia wananchi wa Kata hiyo wameishukuru Serikali Kwa kuwaondolea adha kubwa ya ubovu wa miundombinu ya barabara waliyokumbana nayo kwa muda mrefu.

Bi. Salma Mwaya, mkazi wa Kijiji cha Mnauke kata ya Nanyanga amesema kabla ya ujio wa mradi huo hali ya barabara haikuwa nzuri kwa jinsi walivyokuwa wanapata shida.

“Maji yakijaa tulikuwa tunapata shida sana jinsi ya kuvuka iwe kwa miguu au hata kwa baiskeli, yaani hali ilikuwa ngumu. Wakazi wa Mwindi wanaoenda Nanyanga kupata huduma za mahitaji ya kila siku kama vile madukani na huduma nyingine za kijamii walikuwa wanapata shida sana.” Amesema Salma.

Kwa upande wake Bw. Mustapha Ismail Chilumba mkazi wa Mnauke amesema kabla ya ujenzi wa daraja na barabara ilifikia hatua watu wenye mizigo walikuwa wanavushwa kwa pesa kuanzia shilingi 2000 hadi 5000 inategemea na ukubwa wa mzigo uliobeba.

Kwa mujibu wa Bw. Chilumba, baada ya mavuno ya korosho wananchi wa Kijiji chao walikuwa wanasafirisha mazao yao kwa kuzunguka kupitia vijiji vya Malamba na Miule ili yaweze kufika ghalani na kuongeza kuwa mpaka kufika hatua hiyo wanaishukuru sana serikali kwani imewasaidia vya kutosha kutokana na hali ngumu iliyokuwepo awali.

Akielezea umuhimu wa mradi huo, Meneja wa TARURA Wilaya ya Tandahimba Mhandisi Innocent Ambrosi amesema eneo lililotekelezwa mradi lilikuwa hailipitiki kabisa wakati wa masika na hata wakati wa kiangazi.

Mhandisi Ambrosi amebainisha kuwa baada ya kujenga daraja na barabara hii kumekuwa na unafuu mkubwa wa usafiri na usafirishaji kwa vijiji vya Mnauke na Mwindi na kuongeza kuwa vijiji vyote ni wazalishaji wakubwa wa zao la korosho ambalo ni zao la kiuchumi kwenye Wilaya yao ya Tandahimba na ameishukuru serikali kupitia mradi wa RISE kwa ujenzi wa daraja na barabara hiyo.

About the author

Alex Sonna

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno