Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO:SHEHENA YA VYUMA CHAKAVU,TAKA HATARISHI MARUFUKU KUINGIZWA NCHINI BILA KIBALI CHA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akitoa taarifa kwa  waandishi wa habari leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma  kuhusu   ukiukwaji wa matakwa ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira na Kanuni zake wakati wa kusafirisha nje ya nchi aina mbalimbali ya chuma chakavu na taka hatarishi.

….

Serikali imezielekeza Mamlaka za udhibiti zilizopo kwenye maeneo ya mipaka mbalimbali nchini kuhakikisha shehena yoyote ya taka hatarishi inayosafirishwa nje ya nchi au inayoingizwa nchini na kupitishwa kwenye mipaka ya nchi inakuwa na kibali kilichotolewa na Waziri mwenye dhamana ya Mazingira. 

Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa taarifa za usafirishaji wa chuma chakavu aina ya chuma dongo (Cast Iron) nje ya nchi licha ya kutokutolewa kwa kibali hicho tangu Machi hadi Septemba, 2023.

Akizungumza leo Septemba 22, 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kupitia usafirishaji wa taka hizo nje ya nchi, zipo tozo, ada na kodi zinazopaswa kulipwa, hivyo ukwepaji huo husababisha Serikali kukosa mapato.

Ameongeza kuwa suala hili husababisha kupungua kwa fursa za ajira kwenye viwanda vinavyotumia chuma chakavu aina ya chuma dongo kama malighafi ya kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo nondo.

“Ikumbukwe kwamba Serikali ya Awamu ya Sita imeweka mkazo mkubwa katika suala la uwekezaji wa viwanda vya ndani kwa lengo la kuzalisha ajira na kukuza uchumi na usafirishaji wa bidhaa mbalimbali za chuma chakavu ikiwemo chuma dongo (Caste Iron) nje ya nchi kiholela na usiofuata utaratibu unaweza kusababisha upungufu wa malighafi kwenye viwanda vinavyotumia malighafi za aina hiyo hapa nchini kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo nondo na bomba za chuma,”.

“Upungufu wa malighafi unaweza kusababisha kupungua kwa ajira kwa vijana wanaofanya kazi katika viwanda vyetu vya ndani pamoja na kupanda kwa bei za bidhaa aina ya nondo na bomba za chuma ambazo zinatumika sana katika shughuli za ujenzi wa nyumba za wananchi, ujenzi wa majengo ya serikali na sekta binafsi, pamoja na ujenzi wa wamiundombinu mbalimbali ikiwemo barabara, reli, madaraja, na mabwawa ya kuzalisha umeme,” amesema Dkt. Jafo. 

Hivyo, amewataka wananchi na wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara ya taka hatarishi nchini kuzingatia matakwa ya Kanuni Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Taka Hatarishi za Mwaka, 2021 ikiwemo kuwa na kibali kilichotolewa na Waziri mwenye dhamana ya Mazingira. 

Sanjari na hilo, Waziri Jafo ametoa tahadhari kwa yeyote anayejishughulisha na shughuli za kukusanya, kuhifadhi, kusafirisha ndani ya nchi, kuingiza nchini, kusafirisha nje ya nchi na kupitisha nchini taka hatarishi bila kibali, atakuwa ametenda kosa la kisheria na hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira, Sura ya 191 na Kanuni zake, Ofisi ya Makamu wa Rais imepewa Mamlaka ya kusimamia na kuratibu masuala yote yanayohusu Mazingira nchini. Kifungu cha 133(1) na (3) cha Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura ya 191 pamoja na Kanuni za Usimamizi na Udhibiti wa Taka Hatarishi za Mwaka 2021, zinampa Mamlaka Waziri mwenye dhamana ya Mazingira kutoa vibali vya kukusanya, kuhifadhi, kusafirisha ndani ya nchi, kuingiza nchini, kusafirisha nje ya nchi na kupitisha nchini taka hatarishi. 

Aidha, taka hatarishi au taka zenye madhara ni pamoja na vyuma chakavu, taka za kieletroniki, dutu hatarishi, mafuta machafu, matairi chakavu, taka za plastiki, taka zitokanazo na huduma za kitabibu, betri zilizotumika na aina ya taka zote zinazotoka migodini.

Taka hizi hatarishi zinaweza kusabisha athari kwa afya ya binadamu, viumbe hai na mazingira. Ili kuzuia na kudhibiti athari hizo zitokanazo na taka zenye madhara, mfumo mahsusi unaofanya kazi kwa ufanisi wa kudhibiti taka hizi unapaswa ufuatwe kama ulivyobainishwa kwenye Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura ya 191 na Kanuni zake.

 

About the author

Alex Sonna