Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dkt Doto Biteko  pamoja na viongozi wengine  alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua  Mkutano wa Tano wa Kimkataifa wa Nishati,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati, Septemba 20, 2023. Kushoto kwake ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa  kabla ya kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere  jijini Dar es salaam,

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati wakimsikiliza Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor