Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

kavbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

marsbahis

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

süperbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

kavbet

mavibet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

kingroyal

grandpashabet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

betflix giriş

betflix

deneme bonusu

gameofbet

bahiscasino

cratosroyalbet

romabet

1win

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

teosbet

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

favorisen

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet

grandpashabet

grandpashabet giriş

sekabet giriş

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI MWANAIDI AITAKA JAMII KUVUNJA UKIMYA VITENDO VYA UKATILI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ,akizungumza  wakati wa ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 iliyolenga kufuatilia utekelezaji wa sera na mipango mbalimbali ya wizara katika Mamlaka ya Mikoa na Serikali za Mitaa nchini.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akikagua mradi wa ujenzi wa ukumbi na nyumba za kulala wa Kikundi cha “Tunaweza Wanawake SACCOS “wakati ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akipokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kata ya Nyamigota wakati wa ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akitembelea Kikundi cha Manyuki Company Grading Rice kinachozalisha na kuuza mchele na bidhaa za mpunga wakati ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akiagana na wajumbe wa Kikundi cha Tunaweza Wanawake SACCOS wakati ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ,akizungumza  wakati wa ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 iliyolenga kufuatilia utekelezaji wa sera na mipango mbalimbali ya wizara katika Mamlaka ya Mikoa na Serikali za Mitaa nchini.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akipokea zawadi kutoka Kikundi cha Manyuki Company Grading Rice kinachozalisha na kuuza mchele na bidhaa za mpunga wakati ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akiagana na wajumbe wa Kikundi cha Tunaweza Wanawake SACCOS wakati ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

Na WMJJWM, Geita

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameitaka jamii kutokukaa kimya na kunyamazia vitendo vya ukatili vinavyotokea ili kuwa na Jamii iliyo salama hasa kwa Wanawake na Watoto.

Ameyasema hayo wakati wa ziara yake mkoani Geita Septemba 11, 2023 iliyolenga kufuatilia utekelezaji wa sera na mipango mbalimbali ya wizara katika Mamlaka ya Mikoa na Serikali za Mitaa nchini.

“Nimefika katika Mkoa huu wa Geita nimepokea taarifa ya Mkoa nimeona masuala ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto yameshamiri, jumla ya mashauri 625 kwa watu wazima na mashauri 133 ya vitendo dhidi ya watoto yameripotiwa, sasa tusikae kimya tupaze sauti tutokomeze ukatili.” Amesema Mhe. Naibu Waziri.

Aidha amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii kuwasikiliza wananchi katika maeneo yao ili kuwasaidia kutatua changamoto mbalimbali wanazokabilia nazo katika jamii hasa za upatikitanaji wa fursa za kiuchumi na ukatili wa kijinsia.

“Ndugu zangu Maafisa Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii Rais Samia Suluhu Hassan ameiunda Wizara hii muhimu mtusaidie kuwafikia wananchi kutatua changamoto zao, tuwasaidie wananchi tuwasikilize.” Amesisitiza Mhe. Naibu Waziri.

Wakati huo huo Mhe. Naibu Waziri Mwanaidi amepokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kata ya Nyamigota na amewasihi wajumbe wa kamati ya MTAKUWWA kuhakikisha wanatoa elimu kwa jamii ili wawe na uwezo wa kutoa taarifa za vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto na kuilinda jamii.

Pia Naibu Waziri Mwanaidi ametembelea Kikundi cha Manyuki Company Grading Rice killichopo Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro Halmashauri ya Wilaya ya Geita na kuwataka Wanawake kujiunga katika vikundi vya kiuchumi ili waweze kupata fursa mbalimbali za kupata mikopo kwaajili ya kupata mitaji na masoko ya bidhaa wanazozalisha katika vikundi vyao.

Kwa upande Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Geita Karia Rajab Magaro amemuhakikishia Mhe. Naibu Waziri Mwanaidi kuratibu masuala yote ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii na kuhakikisha Maafisa wa kada hizo wanawafikia wananchi kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika jamii.

“Nakuhakikishia Mhe. Naibu Waziri, tutayasimamamia masuala yote ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita ili wananchi waweze kupata huduma na namna za kupambana na changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii yetu,” amesema Magaro.

Pia Naibu Waziri Mwanaidi ameihamasisha Jamii kutumia fursa ya Kituo cha Huduma kwa Mteja Jamii Call Center kilicho katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kupiga namba 026-2160250 au 0734 986 503 kwa elimu, msaada na changamoto mbalimbali za wananchi.

Nao baadhi ya Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameishukuru Wizara kwa kufuatilia utekelezaji wa Afua mbalimbali na kuiomba Serikali kuendelea kuongeza nguvu katika kuihudumia Jamii hasa kuongeza idadi ya Maafisa Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii katika Kata na Vijiji.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis yupo katika ziara mkoani Geita kufuatilia utekelezaji wa Sera, na Mipango mbalimbali ya Wizara.

About the author

Alex Sonna