Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WATAFITI WASISITIZA UMUHIMU WA LUGHA ZA ASILIA KWA JAMII

Written by Alex Sonna

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, akifungua warsha ya kujadili na kutafiti umuhimu wa lugha asili kwenye uhifadhi wa kumbukumbu za tamaduni

……..

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka,  amezitaka  jamii za kiafrika na hasa wale wanao tumia lugha za asili kuendelea kuthamini lugha zao na hasa kupata maarifa ya namna lugha hizo zina thamani katika kulinda tamaduni mahalia. 

Hayo ameyasema leo wakati akifungua warsha ya siku tano ya watafiti kutoka nchi 9 za Afrika na Ulaya (Uingereza, Ujerumani, Israel, Kenya, Ethiopia, Zimbabwe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda na mwenyeji Tanzania), yenye lengo la kujadili na kutafiti umuhimu wa lugha za asili kwenye masuala ya kuhifadhi kumbukumbu za tamaduni za watu. Warsha inafanyika kwa siku tano kuanzia tarehe 04 hadi 08 Septemba, 2023, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii Chuo Kikuu cha Dodoma.

Aidha, Prof. Kusiluka ameeleza umuhimu wa kufanya tafiti na kutunza historia ya makabila 120 ya Tanzania,  na kwamba tafiti zilizofanyika hadi sasa zimetupa changamoto ya kuheshimu lugha zetu, utamaduni wetu, na kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma kitaendelea kufanya tafiti kwenye eneo hili, kwa lengo la kusaidia Serikali na Jamii kwa ujumla kutambua  umuhimu wa utunzaji wa maarifa ya lugha asili, na kuendelea kuenzi mila na tamaduni zetu tulizorithi kwa mababu. 

 “Lengo la warsha hii ni kubalidilishana uzoefu kuhusu matumizi ya lugha katika kuhifadhi maarifa asilia na kuona kwa namna gani maarifa asilia yanaweza kutunzwa kwa ajili ya vizazi vijavyo.” Alisisitiza  

Naye Mhadhiri wa lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Dkt. Chrispina Alphonce, ambaye pia ni mratibu wa warsha hiyo, amesema ni muhimu kwa jamii kujua kutumia maarifa  yaliyopo katika lugha zao za asili, kwani kuna faida nyingi katika kukuza utamaduni wa jamii husika na taifa kwa ujumla.

Washiriki wa Warsha hiyo pamoja kufanya mijada ya kina ya tafiti zilizofanyika pia watatembelea mkoa wa Manyara, ambako watakutana na makabila makubwa mawili Datooga na Wairaki na kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu namna gani wanalinda na kuenzi  lugha za asili, athari za mazingira na mwingiliano wa tamaduni unavyoathiri lugha za asili, elimu, utandawazi na matibabu ya magharibi yalivyochangia makabila hayo kupoteza asili.   

Matokeo ya warsha hiyo ni kuibuliwa kwa maeneo mengi zaidi ya utaifiti kusaidia nchi za Afrika kulinda tamaduni na lugha za asili sambasamba na utandawazi. Warsha hiyo imefadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Volkswagen la nchini Ujerumani, Chuo Kikuu cha Cologne Ujerumani  na Chuo Kikuu cha Dodoma.

Washiriki wa warsha ya kujadili na kutafiti lugha za asili katika uhifadhi wa kumbukumbu za tamaduni wakifuatilia warsha.

Prof. Alice Michel mtafiti Mkuu wa utafiti wa lugha za asili katika uhifadhi wa kumbukumbu za tamaduni akielezea jambo kwa upana kwa washiriki. 

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo- Taaluma, Utafiti na Huduma kwa Jamii akikakaribisha washiriki katika warsha ya kujadili na kutafiti umuhimu wa lugha asili katika uhifadhi kumbukumbu za tamaduni

Washiriki wa warsha ya kujadili na kutafiti umuhimu wa lugha asili kwenye uhifadhi wa kumbukumbu za tamaduni wakifuatilia warsha hiyo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka (wa nne kutoka kulia) katika picha ya pamoja na Washiriki wa warsha.

About the author

Alex Sonna