slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

betorbet, betorbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

royalbet

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

vdcasino

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

Featured Kitaifa

REA YAWEZESHA MRADI WA UMEME WA CHANZO CHA MAJI IJANGALA KUINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd, Elikana Kitahenga (kulia) akitoa taarifa ya Mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Ijangala mbele ya Wanahabari eneo la Mradi huo katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe

…….

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeweka historia kwa kufadhili mradi wa umeme wa maji wa Ijangala kuingizwa kwenye gridi ya Taifa na kuwanufaisha zaidi wa wananchi 4,500 wa vijiji nane vya wilayani Makete.

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd; kampuni inayomiliki Mradi wa Umeme unaotokana na chanzo cha maji wa Ijangala, Bwana Elikana Kitahenga, amesema tayari mchakato wa kuingizwa kwenye gridi umeanza rasmi Tarehe 4 Septemba, 2023 baada ya kukamilika ujenzi wa kituo hicho.

Mradi wa Umeme unaotokana na chanzo cha maji wa Ijangala kwa sasa una uwezo wa kuzalisha KiloWati 360 ambapo kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa maana yake ni kuwa kampuni ya Nishati Lutherani (DKK) Investment Ltd itaanza kuuza umeme huo kwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO).

Akiongea na Wanahabari; Mkurugenzi Mkuu, Bwana Kitahenga amesema REA imetoa zaidi ya millioni 900 kwa awamu tatu katika kufadhili  ujenzi wa mradi huo.

Amesema kukamilika kwa hatua hii ya kuanza kuingia Mradi wa Ijangala kwenye Gridi ya Taifa; kumetokana na uwezeshaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ambapo mwaka 2013, Mradi huo ulipokea awamu ya kwanza, shilingi milioni 133 na baadae mwaka 2016 Mradi ulipokea shilingi milioni 426 na awamu ya tatu, wanataraji kupokea shilingi milioni 437.

Amesema mradi huo ni ukombozi kwa wananchi wa vijiji vya Masisiwe, Tandala, Ikonda, Usagatikwa na Ihela kwa kupata umeme wa uhakika utatokana na Mradi wa chanzo cha maji wa Ijangala.

Akieleza kuhusu tukio la kuingiza umeme kwenye Gridi ya Taifa; Mshauri Elekezi wa Mradi huo wa Ijangala Prof. Zakaria Katambala kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) amesema kazi imefanywa vizuri na Wakandarasi wanne na kuongeza kuwa zoezi la kuunganisha Kituo hicho na Gridi ya Taifa litakamilika ndani ya wiki moja.

Amezitaja kazi zilizofanywa na Wakandarasi hao wanne, kuwa ni pamoja na ujenzi wa bwawa linalokinga maji kutoka juu kuja chini ulipo Mradi (Power House); kazi nyingine ni ujenzi wa bomba la kusafirisha maji (Penstock) kutoka juu kuja chini kwenye mtambo wa kufua na kuzalisha umeme; kazi ya tatu ni ujenzi wa sehemu ya kuzalisha umeme (Power House) na sehemu ya mwisho ni ujenzi wa mfumo wa kuunganisha mtambo wa umeme wa chanzo cha maji ili uungane na umeme wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

“Kazi imefanyika vizuri, na  Wawakilishi wa TANESCO wapo eneo la Mradi ili kuangalia ubora wa kazi yetu na  kujiridhisha, waturuhusu kuanza kuingiza umeme unaozalishwa hapa kuingia kwenye Gridi ya Taifa”. Alisema Profesa Katambala.

Akizungumzia kuhusu zoezi hilo la kuingiza umeme unaozalishwa na Mradi wa Umeme unaotokana na chanzo cha maji wa Ijangala kuingia kwenye Gridi ya Taifa; Mkurugenzi Mkuu, Bwana Kitahenga amesema zoezi hilo linataraji kushirikisha Wataalam kutoka REA, TANESCO na Mkandarasi aliyejenga njia ya umeme kuja kwenye chanzo cha kuzalisha umeme cha Ijangala; kampuni ya SILO Power na kuongeza kuwa linataraji kuendelea kwa wiki mbili hadi tatu, kuanzia Tarehe 5 Septemba, 2023.

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd, Elikana Kitahenga (kulia) akitoa taarifa ya Mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Ijangala mbele ya Wanahabari eneo la Mradi huo katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd, Elikana Kitahenga (kulia) akimskiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wa kufua umeme wa Ijangala, Prof. Zakaria Katambala kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) namna mashine za kuzalisha umeme zinavyofanya kazi katika kinu cha kuzalisha umeme, eneo la Mradi huo katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe

Mhandisi wa mitambo ya kuzalisha umeme, Shija Nzobora (kulia) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd, Elikana Kitahenga (wa pili kulia) pamoja na Mshauri Elekezi wa Mradi wa kufua umeme wa Ijangala, Prof. Zakaria Katambala kutoka Chuo cha MUST namna mashine za kuzalisha umeme zinavyofanya kazi katika kinu cha kuzalisha umeme, eneo la Mradi huo katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe

Sehemu ya kuogoza na mitambo ya kufua umeme katika kinu cha kuzalisha umeme, eneo la Mradi huo katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe

Sehemu ya nje ya eneo ulipo Mradi wa kufua umeme kwa maji wa Ijangala, katika kijiji cha Masisiwe, Halmashauri ya wilaya ya Makete, Njombe; Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewezesha zaidi ya shilingi milioni 900 kwa ajili ya ununuzi wa mashine za kufua umeme ambapo, jitihada hizo zimefanikisha kuanza kwa taratibu za kuiingizwa kwenye gridi ya taifa. (Picha na REA).

About the author

Alex Sonna