Featured Kitaifa

KILA MWANAUME NILIYELALA NAYE ALINIACHA, NIMEKUJA KUOLEWA NA MIAKA 38!

Written by mzalendoeditor

Naitwa Frida mkazi wa Tabata, Dar es Salaam, nafanya kazi katika Kampuni Binafsi kama Mwasibu, nimefanya kazi hii kwa miaka 10 tangu niajiriwe, ofisi yetu hutembelewa na watu mbalimbali kwa siku kutokana na huduma tunayotoa.

Hivyo katika kitengo changu cha malipo watu wengi huja dirishani kwangu wakiwa na risiti zao mikononi mwao kwa ajili ya kuhitaji huduma. Hivyo mimi huwa bize kuanzia muda ambao naingia ofisini hadi muda ambao natoka ofisini  japo kazi hii imenisaidia kujuana na watu mbalimbali hapa Dar es salaam.

Baadhi ya watu ambao walikuwa wanakuja ofisini haswa wanaume wengi wao walikuwa wanaomba mahusiano ya kimapenzi kutokana na muonekano wangu kwao, pia jinsi ninavyo fanya kazi, hata ambo hawawezi niambia mambo ya mapenzi basi wanaishia kuniuliza Frida umeolewa?, nilipokuwa nasikia mtu ananiuliza hivyo nilikuwa nacheka tu kisha kuendelea na kazi yangu.

Siku moja nikiwa kazini kwangu alikuja kijana mmoja anaitwa Revokatusi, kijana ambaye niliweza kuvutiwa naye pia na yeye alivutiwa na mimi kutokana na jinsi tulivyokuwa tunatazamana usoni ila mimi nilijitaidi kuficha hisia zangu kwake kisha nikamuhudumia kisha akaondoka zake.

Baada ya mwezi mmoja akarudi tena ofisini kwetu kisha akafika dirishani kwa mara ya pili tena kama utaratibu wetu wa kazi nikamuhudumia kisha akaniomba namba yangu ya simu nikampatia.

Baada ya kutoka kazini alinipigia simu na kujitambulisha kwa mara nyingine tena kuwa anaitwa Revokatusi tuliweza kuongea kwa muda wa saa 2 kisha akaniomba siku ya Jumapili tukutane Mbezi Beach tupate chakula cha mchana wote.

Sikuweza kumpa jibu kwa muda huo zaidi nilimwambia kuwa nitamjulisha siku ya Ijumaa kama inawezekana au hapana kisha nikakata simu yake.

Baada ya maongezi nilijua kuwa Revokatusi anataka tukutane ili aweze kunitongoza hali ya kuwa nilikuwa nimeishachoka kabisa na kitu kinachoitwa mapenzi kwa sababu nilikuwa nimeshakutana na wanaume wengi katika mahusiano ila hatimaye wananiacha  na kuoa wanawake wengine.

Hasa aliyeniumiza sana ni kijana ambaye anaitwa Nelson ambaye tulipendana kwa miaka miwili hadi ikafika hatua akanitambulisha kwa wazazi wake na kujitambulisha kwa wazazi wangu na baada ya muda akaoa mwanamke mwingine na kuniacha mimi nikichekwa mtaani kwetu.

Japo kijana Revokatusi alikuwa amenivutia sana ndipo niliamua kuwa nikutane naye tuongee ila akinitongoza sitakubali kwa sababu nafanya kazi nzuri ambayo inanipatia pesa ya kujikimu kimaisha pia nilikuwa sitaki tena mawazo ya kunisumbua.

Siku ya Jumapili ilifika, hatimaye nikakutana na Revokatusi tulivyomaliza kula na kuanza kuzungumza Revokatusi aliniambia kuwa ananiomba niwe mchumba wake, bila kumaliza maneno yake nilimkatalia kisha nikatoka zangu pale na kurudi nyumbani.

Nilipofika nyumbani Revokatusi alinipigia simu na kuniomba msamaha kama amenikwaza sehemu yoyote ila akazidi kuniambia kuwa anahitaji kunioa nimpe nafasi hiyo. Kwangu ikawa ngumu nilivyokuwa nakumbuka wanaume wengine walivyonifanyia ila nikitazama upande wa pili tayari nina umri wa miaka 38 sina mtoto sina mume nikaamua bora nimkubalie Revokatusi ombi lake.

Miezi mitatu katika mahusiano Revokatusi naye, alibadilika hata simu yangu alikuwa hapokei tena baada ya kunitambulisha kwao na akajitambulisha kwetu

Kazini nilikuwa siendi tena habari zikasambaa kila mahali, ndipo rafiki yangu Imelda akanambia kuwa kuna African Doctors ana uwezo wa kunisaidia kutatua shida yangu na kumfanya Revokatusi abadilishe mawazo yake.

Niliwasiliana na African Doctors kwa namba +254 769404965 na kumueleza mwenendo wa maisha yangu tangu mwanzo ndipo akasema nimipigie simu baada ya dakika 35.

Muda ulipofika nilipiga simu ndipo African Doctors akaniambia kuwa mwenye shida ni mimi siyo wanaume ninaopendana nao. Aliweza nisaidia kisha akaniambia kuwa kwa saa 72 tu nitapata majibu toka kwa Revokatusi.

Kesho yake asubuhi Revokatusi alikuja kwangu na kuniomba msamaha na kuniambia hata yeye hajui kwa nini alikuwa hataki kupokea simu yangu, na kwa sasa tumeoana na maisha yetu yanaendelea vizuri.

African Doctors wanaweza kukusaidia mambo kama kupandishwa cheo kazini, kupata kazi, kupata mpenzi wa ndoto zako, pia African Doctors wanatibu magonjwa sugu kama Sukari, Pressure na Kisonono.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

About the author

mzalendoeditor