Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

VIONGOZI WA DINI WAISHUKURU SERIKALI KUJA NA MWONGOZO WA MALEZI BORA

Written by Alex Sonna

 

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo mkoa wa Kilimanjaro, Askofu Mjema Robinson,akizungumza wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju,akizungumza na Viongozi wa Dini wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Mkurugenzi wa Idara ya watoto, kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Sebastian Kitiku,akizungumza  wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju,akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

 

Sehemu ya Viongozi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju,(hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju,akiwa katika picha  na Viongozi wa Dini wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Na MJJWM, Tanga

Viongozi wa dini kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara wameipongeza Serikali kwa hatua ya kuandaa mwongozo wa malezi bora utakaojumuisha watu wa kada mbalimbali ndani ya jamii.

Viongozi hao wametoa pongezi hizo, wakati wa kikao kazi cha kupitia mwongozo wa Malezi Bora, Taifa Imara, kinachofanyika mkoani Tanga kwa siku nne kuanzia Julai 31, hadi Agosti 03, 2023.

Akiongea wakati wa kikao hicho, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo mkoa wa Kilimanjaro, Askofu Mjema Robinson, amesema, wamefurahi kuona Serikali ipo bega kwa bega na viongozi wa dini kushughulika na masuala ya maadili.

“Mhe Mgeni Rasmi, kama kuna kitu viongozi wa dini tunafurahi kuona kinatokea wakati huu wa sasa ni hatua ya Serikali kuja na Mwongozo huu wa malezi Bora, lakini mbali ya uwepo wa Mwongozo ni hii hatua ya kutushirikisha viongozi wa dini, ni ukweli kwamba mmetambua nafasi yetu, hivyo kwa niaba ya viongozi wenzangu tunawaahidi ushirikano wetu” amesema Baba Askofu Robinson

Akifungua kikao kazi  hicho Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju amesema kundi la viongozi wa dini ni muhimu sana
katika suala zima la malezi na makuzi.

“Ninyi Viongozi wa dini, mnaangalia roho lakini pia mnaangalia mahitaji ya mwili, hivyo nafasi yenu ni kubwa sana, wajibu wetu kama Serikali nikuandaa miongozo lakini miongozo hii itakuwa na maana endapo ninyi ambao mnatutunza kiroho mtatusaidia kufikisha jumbe kwa wanajamii” amesema Mpanju.

Mpanju vilevile amewaomba viongozi wa dini, kubadili mbinu na mikakati ya kuwatayarisha wanandoa, kwani taasisi ya ndoa ndio msingi wa kuwa na familia bora.

“Viongozi wa dini, siku hizi watu wanatafuta walezi wa ndoa kwa kuangalia sura, badala ya kuangalia nani ana maadili ambaye atakuwa mshauri wa ndoa, vema viongozi wa dini tunapokwenda kuutekeleza mwongozo huu,  tuwafundishe waumini wetu namna bora ya kuimarisha taasisi ya ndoa” amefafanua Mpanju.

Aidha, Mpanju amekemea vikali baadhi ya watu wazima wenye mahusiano na watoto wadogo na kusema hiyo ni kwenda kinyume na maadili ya kitanzania.

Akitoa maelezo ya awali Mkurugenzi wa Idara ya watoto, kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Sebastian Kitiku alisema shabaha ya kuandaa mwongozo huo wa Malezi Bora ni tafiti iliyofanywa na Serikali kwa kushirikiana na UNICEF, ambapo nguzo kuu tatu zitazingalitiwa
kwenye mwongozo huo za Kujali, Kulinda na Kuwasiliana na mtoto

About the author

Alex Sonna