Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Kimataifa Kitaifa

RAIS SAMIA ALETA MARAIS 6 TANZANIA

Written by Alex Sonna

 

* Wamo pia Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu kutoka nchi mbalimbali

* Rais Samia ashangiliwa kwa kuhutubia wageni wa nje kwa Kiswahili

 

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuipaisha Tanzania kimataifa baada ya kufanikisha ujio jijini Dar es Salaam wa marais wasiopungua sita na Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kadhaa kutoka nchi mbalimbali duniani.


Viongozi hao waliwasili Tanzania kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, leo tarehe 26 Julai, 2023.

 

Marais waliowasili Dar es Salaam ni pamoja na Rais William Ruto wa Kenya, Rais Andry Rajoelina wa Madagascar na Rais Carlos Vila Nova wa São Tomé na Principe.

 

Rais wa Sierra Leone, Julius Maada Wonie Bio, Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera, pia ni miongoni mwa marais waliokuja Tanzania.

 

Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu na wageni wengine mashuhuri kutoka Uganda, Rwanda, Sudani Kusini, Namibia na nchi nyingine nao wamekuja Dar es Salaam kuhudhuria mkutano huo.

 

Akiwa ni mwenyeji wa marais hao, Rais Samia pia alifanya mazungumzo ya pembeni na baadhi ya viongozi ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na mataifa ya nje.

 

Rais Samia aliwakosha wajumbe wa mkutano huo kutoka nchi mbalimbali za Afrika na kwingine duniani baada ya kuamua kuhutubia kwa kutumia lugha ya Kiswahili, kitendo kilichofanya ashangiliwe na wahudhuriaji wa mkutano huo.

 

Katika hotuba yake, ambayo ilitafsiriwa kwa wageni wasiojua Kiswahili, Rais Samia alihimiza uwekezaji katika sekta za elimu na afya ili kuweka msingi mzuri kwa watoto kukua vizuri kiakili.

 

“Tunapozungumzia uwekezaji katika rasilimali watu, ni kuhakikisha kuwa uwekezaji unaanza tangu mtoto anapozaliwa. Kwa maana ya upatikanaji wa lishe bora na chanjo stahiki, ili kuondoa udumavu ambao mara nyingi hupunguza kiwango cha uelewa na uwezo wa kusoma vizuri kwa watoto hao,” alisema.

 

Rais Samia alisisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuwekeza kwenye rasilimali watu kama chachu ya maendeleo endelevu.

 

“Hatuwezi kulikomboa bara letu kiuchumi kama hatutoelekeza nguvu zetu kwenye maendeleo ya rasilimali watu kwa kuwapa wananchi maarifa na ujuzi unaohitajika katika kuyatumia na kuyabadilisha mazingira yao kwa manufaa yao,” aliongeza.

 

Samia alisema kuwa ni muhimu kwa viongozi wa Afrika kuhakikisha kuwa wanaangalia, wanatathmini na kusimamia mageuzi yote muhimu ili kuliwezesha bara hili litumie uwezo na rasilimali zake kujikomboa kiuchumi.

 

Rais aliwakumbusha viongozi wenzake kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu wa Afrika ni vijana chini ya umri wa miaka 25, ambao amewataja kuwa ni rasilimali kubwa ya maendeleo.

 

“Afrika ndilo bara lenye vijana wengi zaidi, na takwimu zinaonesha ifikapo mwaka 2050, Afrika itatoa nchi 10 zenye idadi kubwa ya vijana duniani kwa mujibu wa taasisi ya World Economic Forum na ikikadiriwa kuwa ikifika mwaka 2030, Afrika itakuwa na 42% ya vijana wote duniani.”

About the author

Alex Sonna