Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI 2 WANAOZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023. Pakistan na Tanzania wana mpango wa kuendeleza  ushirikiano katika masuala mengi ikiwemo diplomasia, teknolojia pamoja na majeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023. Pakistan na Tanzania wana mpango wa kuendeleza  ushirikiano katika masuala mengi ikiwemo diplomasia, teknolojia pamoja na majeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023. Pakistan na Tanzania wana mpango wa kuendeleza  ushirikiano katika masuala mengi ikiwemo diplomasia, teknolojia pamoja na majeshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi Kenya Mhe. Isatu A. Bandu, Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023. Nchi hizo mbili zinadhamiria kuimarisha masuala ya Biashara na Uwekezaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi Kenya Mhe. Isatu A. Bandu, mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 Julai, 2023. Nchi hizo mbili zinadhamiria kuimarisha masuala ya Biashara na Uwekezaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi Kenya Mhe. Isatu A. Bandu, Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar mara baada ya mazungumzo yao tarehe 24 Julai, 2023. Nchi hizo mbili zinadhamiria kuimarisha masuala ya Biashara na Uwekezaji.

About the author

mzalendoeditor