Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WANANCHI MBINGA KUNUFAIKA NA JITIHADA ZA SERIKALI KUJENGA NA KUKARABATI BARABARA – MHE.NDEJEMBI 

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Mbamba-Bay mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.

Wananchi wa Mbamba-Bay wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza nao.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Liuli-Nyasa (hawapo pichani), mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Kigonsera mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.

Wananchi wa Kigonsera wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza nao.

Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mbiga watanufaika na ujenzi pamoja na ukarabati barabara unaofanywa na Serikali kupitia fedha za Mradi wa Uboreshaji Miundombinu katika Miji (TACTIC), AGRI-CONNECT na zilizotengwa kwenye bajeti ya TARURA.

Mhe. Ndejembi amesema hayo akiwa katika Halmashauri ya Mji Mbinga, mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wananchi wa Mbinga.

Mhe. Ndejembi amesema, kupitia mradi wa TACTIC usanifu wa kujenga barabara za lami 12 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga utakamilika muda si mrefu na mkandarasi ataanza ujenzi, na kuongeza kuwa kupitia mradi huo Mbinga itajengewa soko la kisasa.

Mhe. Ndejembi ameainisha kuwa, kupitia mradi wa AGRI-CONNECT barababara nyingine ya Luwaita yenye urefu wa kilomita 15.7 ambayo usanifu wake umeshakamilika, imewekwa kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami katika mwaka huu wa fedha 2023/24. 

Aidha, Mhe. Ndejembi amesema, ipo barabara inayotoka Mbinga kwenda Mpepai na Liparamba yenye urefu wa Kilomita 41.87 ambayo imetengewa milioni 400 katika mwaka huu wa fedha 2023/24 kwa ajili ya kutengeneza maeneo korofi ili iweze kutumika wakati wote.

“Mhe. Makamu wa Rais, ninawahakikishia wananchi wa Mbiga kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko kazini kuwaboreshea miundombinu ya barabara ambayo ni chachu ya maendeleo katika taifa,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Sanjari na hilo, Mhe. Ndejembi amefafanua kuwa ndani kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wa Serikali ya Awamu ya Sita, bajeti ya TARURA kwa ajili ya ujenzi wa barabara katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga iliongezwa kutoka milioni 930 hadi bilioni 2.2, na katika mwaka huu wa fedha TARURA imetengewa zaidi ya bilioni 2.9 kwa ajili ya ukarabati wa barabara zilizopo katika halmashauri hiyo ya mji.

About the author

Alex Sonna