Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA ASISITIZA UMUHIMU WA KUTUNZA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana (kulia) akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais waliofika Ofisi kwake leo Mei 29, 2026 kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusu Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 katika Mkoa huo. Katikati ni Afisa Misitu Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Lucas Sabida na Afisa Utumishi Mwandamizi Bi. Sheillah Kikula.

….

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana amesema ajenda ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira ni eneo la kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya mkoa huo.

Bw. Elikana amesema hayo leo Mei 29, 2026 wakati wa mazungumzo baina na timu ya watalaamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais waliofika ofisini kwake kwa ajili ya kupokea taarifa ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku Mazingira Duniani, 2026 katika Mkoa huo.

Elikana amesema Mkoa huo umekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha juhudi za Serikali katika masuala ya utunzaji na usimamizi wa mazingira kwa kuhimiza jamii umuhimu wa za uhifadhi wa mazingira ikiwemo upandaji miti na shughuli za usafi.

Ameeleza kuwa kwa kuzingatia umuhimu wa mazingira, Sekretarieti ya Mkoa huo kwa kushirikiana na Halmashauri za Wilaya zipo mbioni kuandaa utaratibu wa kuhamasisha vijana kuweza kushiriki katika utunzaji na uhifadhi wa misitu katika maeneo mbalimbali Mkoani humo.

“Mwanza tuna misitu mingi mfano msitu wa buhindi uliopo halmashauri ya buchosa ambao kwa sasa tunataka maeneo ya aina hii yaweze kutumika vyema kuwanufaisha vijana kwani ni fursa inayoweza kutengeneza ajira” amesema Elikana.

Aidha amesema hivi karibuni Mkoa huo ulikuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya Siku ya Ziwa Victoria yaliyolenga kuhimiza jamii kuhusu umuhimu wa utunzaji na uhifadhi wa mazingira katika ziwa hilo ambalo lina mchango mkuwa katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

“Maadhimisho haya ni sehemu ya utekelezaji wa azimio la Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia kamisheni ya bonde la ziwa Victoria…..tulikuwa na matukio mbalimbali ikiwemo zoezi la upandaji wa miti takribani 2500 katika eneo la mradi wa maji Butimba” amesema Elikana.

Kwa upande kiongozi wa timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Afisa Misitu Mwandamizi Bw. Lucas Sabida ameupongeza Mkoa wa Mwanza kwa juhudi mbalimbali inazoendelea kuzifanya katika kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi na utunzaji wa mazingira.

Aidha amesema Ofisi ya Makamu wa Rais imeendelea kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa timu ya wataalamu wa Mazingira ya Mkoa huo na kuufanya kuwa ni miongoni mwa Mkoa ya mfano katika uhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi wa mazingira.

Timu ya Wataalamu ya Ofisi ya Makamu wa Rais ipo Mkoani Mwanza kwa ajili ya kuratibu maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Mkoani humo yatayoadhimishwa kimkoa siku ya Jumamosi tarehe 30 Mei, 2026.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo anatarajia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda. Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mwaka 2026 yamebeba kauli mbiu isemayo “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha Tanzania”.

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana (kulia) akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais waliofika Ofisi kwake leo Mei 29, 2026 kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusu Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 katika Mkoa huo. Katikati ni Afisa Misitu Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Lucas Sabida na Afisa Utumishi Mwandamizi Bi. Sheillah Kikula.

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana (kulia) akimsikiliza Afisa Misitu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Lucas Sabida (katikati) wakati wa mazungumzo baina yake na Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais walipofika Ofisini kwake leo Mei 29, 2026 kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusu Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 katika Mkoa huo. Kushoto ni Afisa Utumishi Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sheila Kikula.

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana (kulia) akimsikiliza Afisa Misitu wa Mkoa huo Bw. Mangabe Nilago (kulia) wakati wa mazungumzo na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais waliofika Ofisi kwake leo Mei 29, 2026 kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusu Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 katika Mkoa huo

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Bw. Balandya Elikana (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais waliofika Ofisi kwake leo Mei 29, 2026 kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusu Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 katika Mkoa huo. Kutoka Kushoto ni Afisa Misitu Mkoa wa Mwanza Bw. Mangabe Nilago, Afisa Utumishi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sheila Kikula, Afisa Misitu Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Lucas Sabida na Afisa Mazingira Bw. Japharin Mwakajila.

About the author

Alex Sonna