Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA VIONGOZI KUSIKILIZA MALALAMIKO YA WATUMISHI 

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.

Sehemu ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa halmashauri hiyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Bi. Mwanahamsi Ally Mara baada ya kuwasili katika halmashauri hiyo kwa ziara ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa halmashauri hiyo. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mhe. Sophia Kizigo.

Na. Lusungu Helela-Mpwapwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka viongozi wa ngazi za Wilaya na Halmashauri zote nchini kujenga utamaduni wa kusikiliza na kufanyia kazi malalamiko mbalimbali ya Watumishi wa Umma  huku akisema kiu yake ni kuona watumishi  hao wakifurahia kuwa Watumishi wa Wananchi.

Waziri Simbachawene ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mpwapwa mkoani Dodoma, ambapo amesema yeye kama kiongozi anatambua watumishi wanakabiliwa na changamoto lukuki na hawana sehemu ya kusemea.  

Amesema watumishi waliokata tamaa hawawezi kutoa huduma bora kwa wananchi huku akisisitiza kuwa hali hiyo imekuwa ikiwaumiza wananchi na kuifanya serikali iliyopo madarakani kuchukiwa kwa matatizo yao kutopatiwa ufumbuzi.

Amefafanua kuwa anataka kuona watumishi wa umma wakipata stahiki zao lakini na wao wakitekeleza majukumu yao ipasavyo.

Kufuatia hatua hiyo, Mhe. Simbachawene amewataka Makatibu Tawala wa Wilaya nchini ambao ndio wakuu wa utumishi wa umma katika ngazi ya wilaya kutekeleza majukumu yao kwa kusikiliza vilio na malalamiko ya watumishi walio chini yao.

“Watumishi waliochukia na wenye malalamiko hawawezi kuleta matokeo chanya ambayo Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anakusudia, hivyo Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri na Katibu Tawala wa Wilaya shughulikieni matatizo ya watumishi” amesisitiza Mhe. Simbachwene.

Aidha, Mhe. Simbachawene amesema  Watumishi wa Umma wanaokiuka misingi ya utumishi wa umma akitolea mfano ulevi kazini ni vizuri wakawa wanaonywa kabla ya kuadhibiwa ikizingatiwa sasa hivi waajiriwa wengi ni vijana sana hivyo wanachohitaji ni malezi pekee.

Katika zoezi hilo la kusikiliza malalamiko ya watumishi, miongini mwa malalamiko yaliyotewa kwa wingi na watumishi hao ni kuchelewa kulipwa malimbikizo yao ya mishahara, kupandishwa madaraja, kuchelewa kulipwa fedha za uhamisho pamoja na kubambikiwa mikopo. 

Naye Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa, Mhe. Sophia Kizigo amesema yeye na timu yake chini ya Katibu Tawala wa Wilaya watajipanga kusikiliza malalamiko ya watumishi ili kuhakikisha watumishi wa Mpwapwa wanaifurahia kazi yao.

Hata hivyo, Mhe. Kizigo ametumia fursa hiyo kuwaasa Watumishi wa Umma kuacha kukopea mshahara wote hali inayoufanya utumishi wa umma kudharauliwa kupelekea mtumishi kuishi maisha magumu.

About the author

Alex Sonna