Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE WA RAIS WA ANGOLA IKULU DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio Ikulu Jijini Dar es Salaam  tarehe 15  Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco, Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio mara baada ya mazungumzo yao na kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio na Ujumbe wake, mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15  Julai, 2023.

About the author

mzalendoeditor