Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS  ASISITIZA UUNGWAJI MKONO MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais Dk.Philip Mpango( wa pili kushoto) akikabidhi mtungi wa Oryx Gas mkazi wa Buhigwe mkoani Kigoma Aisha Nduhiye (wa pili kulia) wakati wa tukio la ugawaji wa vifaa mbalimbali ikiwemo mitungi na majiko ya oryx kwa wanawake wajawazito pamoja pamoja na wahudumu wa sekta ya afya. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation inayoshughulika kusaidia Watoto Njiti aliyepeleka vifaa .Wa tatu kulia ni Meneja Mkuu wa Oryx Gasi Kanda ya Kaskazini Alex John .

Na Mwandishi Wetu,Kigoma

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amesema juhudi za kulinda mazingira zinazofanywa na taasisi mbalimbali kuhamasisha nishati safi ya kupikia zinastahili kuungwa mkono.

Pia, ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) kwa kazi nzuri inayoifanya kuiwezesha jamii kupata gesi safi ya kupikia kwa kugawa mitungi ya gesi na majiko yake kwa wananchi, hivyo kutekeleza mkakati wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Dk. Mpango alisema hayo kwa wananchi wa Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma katika hafla ya kukabidhiwa kwa vifaa mbalimbali kwa wanawake wajawazito ikiwemo mitungi ya gesi 300 iliyokabidhiwa kwa wajawazito 214 na watumishi wa afya ngazi ya jamii 86 kutoka wilaya hiyo.

Mitungi hiyo imetolewa na OGTL kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris Molleli Foundation kwa lengo la kuwajengea wanufaika mazingira salama ya kupikia na kunusuru uharibifu wa mazingira unatokana na ukataji miti inayotumika kutengeneza mkaa na kuni kama nishati ya kupikia.

Akizungumza zaidi wakati akikabidhi vifaa hivyo pamoja na mitungi ya gesi ya Oryx , Dk.Mpango pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuipongeza Oryx Gas kwa uamuzi wa kugawa mitungi hiyo bura kwa wananchi wa Buhigwe.

“Niipongeze kampuni ya Oryx Gas kwa kazi nzuri inayoifanya kwa kuiwezesha jamii kupata gesi safi ya kupikia na hatua hii inastahili kuungwa mkono kwani inalenga kuendeleza harakati za kutunza mazingira, ” amesema Dk.Mpango.

Aidha Dk.Mpango amewahimiza wanachi wa Buhigwe kutumia gesi ya Oryx kwa kuwa kampuni hiyo inasaidia jamii kwa kutoa bure mitungi na majiko.

Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Oryx Gas Kanda ya Kaskazini, Alex John, amesema kampuni hiyo ikiwa kinara wa soko katika usambazaji wa gesi ya kupikia nyumbani (LPG) nchini, inaendelea kufanya uwekezaji mkubwa kwa wananchi kuunga mkono juhudi za serikali za kuhimiza matumizi ya nishati hiyo.

Ameongeza gesi safi ya LPG ni suluhisho la kutokomeza matumizi ya kuni na mkaa, hivyo kuboresha afya ya jamii, ustawi na utunzaji wa mazingira, pia ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk. Samia Suluhu Hassan la kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia kama mkakati wa kulinda mazingira.

Amefafanua kwamba kabla ya ugawaji wa majiko na mitungi hiyo, yalitolewa mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya gesi yaliyowezeshwa na meneja mkuu huyo wa kanda ya kaskazini.

“Tunaamini wahudumu wa afya wa wilayani Buhigwe wanawakilisha watu wengi na wanapaswa kuwa mfano wa mabadiliko ya nishati safi.Sote tunajua kuwa kundi hili lina ushawishi mkubwa kwa watu wanaowahudumia, hivyo Oryx tumeamua kutoa mitungi hiyo na majiko ya gesi ya LPG kuwahimiza na kuwashawishi wengine kuhusu umuhimu wa mabadiliko ya nishati ya LPG,” amesema.

Pamoja na hayo amesema kampuni ya Oryx Gas Tanzania inaendelea kuwekeza katika uingizaji, uhifadhi, ujazaji wa gesi kwenye mitungi na usambazaji wa LPG Tanzania nzima, vikiwemo Visiwa vya Unguja na Pemba huku akisisitiza kila mwaka kampuni hiyo inatumia mamilioni kadhaa ya dola katika mitungi mipya inayoletwa sokoni kila siku.

Amesema kampuni pia inatoa mitungi hii kwa punguzo kubwa, kutoa ruzuku ya gharama nyingi za LPG kwa vifaa vya kuanzia (Mitungi, Gesi na majiko) ili kuwawezesha watu kubadili nishati ya kuni na mkaa kwa kutumia gesi safi na kufanya gesi ipatikane nchi nzima.

About the author

Alex Sonna