Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

NDEJEMBI AONYA WATAKAOCHEZEA FEDHA ZA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA ZA SEKONDARI ZA BWENI ZA WASICHANA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Wakuu wa Idara za Elimu wakati wa kikao kazi chake na watendaji hao, kilicholenga kuhimiza uwajibikaji katika usimamizi wa utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia mradi wa kuboresha elimu ya sekondari (SEQUIP).

Sehemu ya Wakuu wa Idara za Elimu wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi wakati akizungumza nao kwenye kikao kazi kilicholenga kuhimiza uwajibikaji katika usimamizi wa utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia mradi wa kuboresha elimu ya sekondari (SEQUIP).

Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Charles Msonde akisisitiza jambo kwa Wakuu wa Idara za Elimu wakati wa kikao kazi cha Mhe. Deogratius Ndejembi na wakuu hao wa idara kilicholenga kuhimiza uwajibikaji katika usimamizi wa utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia mradi wa kuboresha elimu ya sekondari (SEQUIP).

Na: James Mwanamyoto – OR-TAMISEMI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) awamu ya kwanza na ya pili, ambao ni matokeo ya jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan aliyedhamiria kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini. 

Mhe. Ndejembi onyo hilo mkoani Tabora, wakati wa kikao kazi chake na Wakuu wa Idara za Elimu kilicholenga kuhimiza uwajibikaji katika usimamizi wa mradi huo wa SEQUIP unaotekelezwa kwenye halmashauri 26 ikiwa ni moja katika kila mkoa.

“Niwawahikishia kuwa, hatutamvumilia yeyote atakayecheza na fedha za utekelezaji wa mradi huu kwasasabu atakuwa anachezea fedha za Rais Samia Suluhu Hassan, na wala sitarajii kusikia REO na DEO wanavutana au REO na RAS wanavutana,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Aidha, Mhe. Ndejembi amewataka watendaji hao kuwapatia kazi watu wenye uwezo wa kutekeleza ujenzi wa mradi huu kwa wakati, ili wanafunzi wanufaike na miundombinu iliyojengwa kwa jitihada za Serikali.

“Bilioni 3 kwa kila halmashauri katika halmashauri 26 ni fedha nyingi, hivyo ni lazima mumpe kazi mtu mwenye uwezo wa kukamilisha mradi kwa wakati na si kumpatia mtu kwa upendeleo wa aina yoyote,” Mhe. Ndejembi amehimiza.

Sanjari na hilo, Mhe. Ndejembi amewasitiza watendaji hao kuzingatia sheria, kanuni, taratibu, miongozo katika mchakato wa kuwapatia kandarasi wajenzi wa mradi huu, ili kupata watu sahihi watakaojenga miundombinu imara yenye kulingana na thamani ya fedha iliyotolewa. 

Akizungumzia idadi ya mikoa iliyonufaika na mradi huu, Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Charles Msonde amesema, Mhe. Rais ameshatoa fedha za ujenzi shule hizo 26 katika halmashauri 26 ambapo awali alianza na halmashauri 10 na sasa amemalizia halmashauri 16, hivyo kupelekea mikoa yote 26 kunufaika kwa halmashauri moja kupata bilioni 4.1 ikijumuisha awamu ya kwanza na ya pili ambapo kumekuwa na nyongeza ya milioni 100 kutokana na kuongezeka kwa gharama za ujenzi.

Dkt. Msonde amesema, halmashauri zote 16 zinanufaika na fedha za mradi huu kwa kujenga shule zenye jengo la utawala, madarasa, maabara, vyoo, chumba cha jenereta, bwaro, nyumba za walimu, mabweni, chumba cha wagonjwa, mitaro ya maji, vichomea taka, uzio, chumba cha TEHAMA, maktaba, pamoja na matanki ya maji ya ardhini na ya plastiki.

About the author

Alex Sonna