Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat

sahabet

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

piabellacasino giriş

pashagaming

casinoroyal

teosbet

piabellacasino

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betpark

holiganbet

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Featured Kitaifa

TGNP YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE KUHUSU KUANDAA BAJETI

Written by Alex Sonna

 

Mchambuzi wa sera na kanuni za Bunge, Deus Kibamba ,akiwasilisha mada wakati wa  mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum akizungumza wakati wa   mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia  yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodoma.

Mbunge wa Moshi Mjini Priscus Tarimo,akichangia mada wakati wa  mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia  yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodom

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Pwani Subira Mgalu,akichangia mada wakati wa  mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia  yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodom

Mbunge wa viti Maalum  CCM Mkoa wa Mtwara Agnes Hokororo,akichangia mada wakati wa  mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia  yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodoma

Sehemu ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali  wakati wa  mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia yaliyoandaliwa na Mtandao  wa Jinsia Tanzania (TGNP) yaliyofanyika leo Juni 13,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umewataka wabunge kuisimamia serikali kuandaa bajeti zenye mlengo wa kijinsia zitakazo saidia kujibu kero za kila kundi nchini kwa maendeleo endelevu.

Hayo yamesemwa leo Juni 13,2023 jijini Dodoma na Mchambuzi wa sera na kanuni za Bunge, Deus Kibamba wakati  akiwasilisha mada kwenye mafunzo kwa wabunge kuhusu umuhimu wa bajeti kuwa na mlengo wa kijinsia yaliyoandaliwa na TGNP.
Amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuboresha uwezo wa kupenyeza masuala ya usawa wa kijinsi kwenye michakato ya kibajeti bungeni.
“Lengo la mafunzo kwa wabunge hawa ni kuwawezesha kuwa na uwezo wa kupenyeza masuala ya kijinsia kwenye michakato ya kibajeti kuanzia ngazi za chini kwakuwa wabunge pia ni madiwani wataweza kupenyeza ajenda hii hadi katika ngazi za chini”amesema Kibamba
Pia, Kibamba amesema ili kufanikisha ajenda ya bajeti zenye usawa wa kijinsia wanawake wanapaswa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali ili kusimamia michakato hiyo kwa ukamilifu.
“Mwakani tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wanawake wanapaswa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ili kusimamia michakati ya bajeti zenye mlengo wa kijinsia.
“Hatua kubwa zimepigwa kwenye mambo mbalimbali nchini kwenye masuala ya kijinsia leo hii sisi kama taifa hatushangai kuona waziri kuwa mwanamke au spika kuwa mwanamke lakini bado yapo mambo madogo ya kufanyia kazi lakini katika ngazi za chini tatizo bado kubwa sana kwenye vijiji na mitaa takwimu zinaonyesha kuwa kwenye ngazi za serikali za mitaa wanawake viongozi hawazidi asilimia tatu”amesema Kibamba
Kwa upande Wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum amesema wataendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha kuwa michakato ya bajeti inakuwa na mlengo wa kijinsia kwa kuwa maendeleo ya taifa lolote yanapaswa kujali usawa wa kijinsia.
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Simiyu Leah Komanya, amesema wabunge wanao wajibu wa kuisisitiza serikali pamoja na jitihada za kujenga majengo kwa ajili ya vituo vya afya pia kuwepo na vifaa vya uhakika vya wanawake kujifungulia.
“Serikali pia itekeleze ujenzi wa kiwanda cha vifaa tiba ili kuondoa changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wanawake na wasichana ikiwemo upatikanaji wa taulo za kike zinazochangia kuwakosesha masomo wasichana”amesema Komanya
Mbunge wa Mikumi Dennis Londo, amesema mafunzo hayo ni muhimu kwa wabunge na yanapaswa kutolewa mapema ili waweze kuishauri serikali kabla ya kusomwa kwa bajeti kuu.
“Mpango wa bajeti unaletwa katika Bunge la mwezi Novemba hivyo mnatakiwa kabla ya wakati huo mchambue mapendekezo yenu ili sisi tunapochangia bungeni tunakuwa na uhakika na kile tunacho kisema ili kuwasaidia wanachi kwenye vipaumbele vyao”amesema Londo

About the author

Alex Sonna