Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

MFUMO WA UFUATILIAJI HALI YA BARABARA WAFIKIA WANANCHI ELFU 15

Written by Alex Sonna

Watoa elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara Comfort Mgarula (kushoto) na Bi Segolena Francis (wa pili kulia) kutoka Bodi ya Mfuko wa Barabara, wakitoa elimu hiyo kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ghati Chomete (kulia) na Santiel Kirumba (wa pili kushoto), Bungeni jijini Dodoma

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani (kulia), akiteta jambo na Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Mhandisi Rashid Kalimbaga (Kushoto) pamoja na Mhandisi Jacob Mukasa wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, baada ya kufurahishwa na huduma ya utoaji elimu ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara Bungeni jijini Dododma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Moshi Kakoso (Kushoto), akipata elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya kutoka kwa Eng. Jacob Mukasa wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma mwishoni mwa wiki

Mbunge wa Bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Fransis Ndulame (Kushoto), akisalimiana na Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Eng. Rashid Kalimbaga wakati wa zoezi la utoaji elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara inayotolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Eng. Leonard Chamuriho (kushoto) na Eng. Mwanaisha Ulenge (kulia), wakitoa maoni yao baada ya kupata elimu ya matumizi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara inayotolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma. Wengine ni Eng. Jacob Mukasa (kushoto kwa Chamuriho) na Msitiri Malongwe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara.

Picha na Bodi ya Mfuko wa Barabara

Imeelezwa kuwa zaidi ya wananchi 15,000 tayari wameingia kwenye mfumo wa kielektroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara na kutoa taarifa au changamoto mbalimbali wanazo kutana nazo wanapotumia barabara katika maeneo mbalimbali nchini. 

Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Eng. Rashid Kalimbaga wakati akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, ambako Bodi ya Mfuko wa Barabara imeweka kambi kwa ajili ya kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mfumo huo kwa wabunge.

“Kwa upande wa taarifa tulizopokea tangu mfumo huu umezinduliwa mwezi Julai mwaka 2022 jijini Mwanza tayari tumepokea taarifa zaidi ya 15,000.  Taarifa 9,300 ambazo ni sawa na asilimia 62 ya taarifa zilizotolewa tayari zimefanyiwa kazi na ambazo bado zinafanyiwa kazi ni taarifa 5,700 sawa na asilimia 18. Kwa hivyo utaona kwamba ni mfumo ambao unafanyakazi, taarifa zinakuja na zinafanyiwa kazi na mwananchi ambae anatoa taarifa anapatiwa mrejesho kwa wakati. kulingana na tatizo aliloliripoti”. Amesema Mhandisi Kalimbaga.

“Taarifa hizi zinahusu hasa hali ya barabara kwa mfano kumetokea dharura kalavati limezolewa na mafuriko ya mvua, barabara imekatika, uwepo wa shimo barabarani au thamani za barabara zimeibiwa basi wananchi wanaweza kutoa taarifa ya hali hiyo kupitia simu za mkononi, na taarifa hiyo itafika moja kwa moja kwa wakala wa barabara husika na watachukua hatua na kuitolea mrejesho kwa mtoa taarifa”. Ameongeza Mhandisi Kalimbaga.

Mhandisi Kalimbaga amesema kuwa Bodi ya Mfuko wa Barabara imeamua kuweka kambi ya Bungeni hapo ili kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mfumo huo wa kielektroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara kwa wabunge ili nao wakishauelewa wasaidie kutoa elimu kwa wananchi majimboni mwao hali itakayosaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi kwa haraka na hivyo kuongeza ulinzi kwenye miundombinu ya mtandao wa barabara nchini.

Kwa upande wake Mhandisi Jacob Mukasa kutoka Bodi ya Mfuko wa Barabara amesema kuwa mfumo huo ni rahisi kutumika na kila mwananchi kwa kuwa unapatikana kupitia simu za mkononi kwa kupakua mfumo huo uitwao Barabara kupitia App Store au Play Store, au kwa kubonyeza *152*00# na kuchagua namba nne halafu tano na kisha kufuata maelekezo ya kutoa taarifa za hali ya barabara.

Bodi ya Mfuko wa Barabara iliunda mfumo huo kwa kutumia wataalamu wake wa ndani ili kuwashirikisha wananchi katika ufuatiliaji wa hali ya barabara na hivyo kuongeza ulinzi wa miundombinu ya barabara ambayo Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kuijenga. Tunza Barabara, Zikutunze.

About the author

Alex Sonna