Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MIONGOZO YA ELIMU YA AWALI JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akikata utepe kuashiria  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali  kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.Kushoto ni Mkurugenzi wa Elimu ya Awali na Msingi kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Bi.Susan Nussu.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI imezindua miongozo na nyaraka za Elimu ya Awali zitakazorahisisha utoaji wa huduma stahiki kwa watoto kwenye malezi na ujifunzaji ili kujenga makuzi timilifu.

Uzinduzi huo umefanyika Mei 26, 2023 na Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule, Patrick Leyana kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Amesema miongozo na nyaraka hizo zimeandaliwa ili kuwawezesha wadau wa elimu ya awali kutoa huduma kwa watoto wote kwa usawa na kwa kuzingatia mahitaji yao.

Ametaja miongozo hiyo kuwa ni pamoja na Mwongozo wa Kitaifa wa Uendeshaji na Viwango katika Elimu ya Awali (MUVEA), Kiongozi cha Utekelezaji wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uendeshaji na Viwango katika Elimu ya Awali (KUMUVEA), Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Utekelezaji wa Shughuli za Ushirikiano wa Wazazi na Walimu katika Elimu ya Awali na Msingi.

Mingine ni Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji, Usimamizi na Uendeshaji wa Vituo Shikizi vya Shule pamoja na Mwongozo wa Upimaji Shirikishi wa Matokeo ya Ujifunzaji kwa Wathibiti Ubora wa Shule.

“Shukrani za pekee kwa Shirika la Kimataifa la Watoto Duniani UNICEF na GPE LANES II pamoja na mashirika mengine likiwemo shikrika la Children in Crossfire Watoto wetu Tunu Yetu, USAID- Jifunze Uelewe na UKaid-Shule Bora mliochangia kwa moyo wa dhati kufanikisha uandaaji, uchapaji na uzinduzi wa miongozo hii,”amesema.

Amewaomba viongozi wengine kutoka katika wizara zinazohusika na masuala ya watoto kutumia miongozo hiyo ili kuwezesha upatikanaji wa huduma jumuishi kwa watoto wote wakiwemo wenye mahitaji maalumu kufikia viwango vya ubora wa kitaifa, kikanda na kimataifa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Elimu ya Awali na Msingi kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Bi.Susan Nussu, amesema miongozo hiyo itasaidia kujenga elimu bora kwa watoto wa kitanzania wakiwa na umri mdogo na kupitia mradi wa BOOST walimu 3,000 watafikiwa kujengewa uwezo wa kufundisha madarasa ya awali.

Awali Mratibu wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Hawa Selemani, amesema miongozo hiyo itaweka viwango vya ubora katika utekelezaji wa elimu ya awali.

Naye Mtaalamu wa masuala ya Elimu kutoka Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Audax Tibubinda, amesema hatua hiyo inaonesha hatua kubwa katika maendeleo ya elimu na kuhimiza wataalamu wa ndani waendelee kutumika zaidi ili kuleta mafanikio ya aina hiyo.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akizungumza wakati akifungua uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Elimu ya Awali na Msingi kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Bi.Susan Nussu,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mratibu wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Hawa Selemani,akielezea malengo ya uzinduzi huo wa  Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mtaalamu wa masuala ya Elimu kutoka Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Audax Tibubinda,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw.Hamd Habib Bakar,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkufunzi Mhonda TC Bw.Mussa Swila,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii,JinsiaWanawake na Makundi Maalum Bi.Leah Mwakatobe,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mratibu wa Elimu ya Awali Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Yangson Mgogo,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara  hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana (hayupo pichani), wakati akifungua uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akipata maelezo jinsi watoto wanavyopata elimu ya awali wakati wa uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akicheza na watoto wakati akifungua uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akikata utepe kuashiria  uzinduzi wa Miongozo ya Elimu ya Awali  kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.Kushoto ni Mkurugenzi wa Elimu ya Awali na Msingi kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Bi.Susan Nussu.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akikabidhi Miongozo ya Elimu ya Awali mara baada ya kuizindua kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi Ithibati Shule,Bw. Patrick Leyana,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  Miongozo ya Elimu ya Awali Tanzania bara kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda hafla iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mtemi Mazengo jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna