Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

TANZANIA NA MALAWI KUKUZA UHUSIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI

Written by Alex Sonna

Tanzania na Malawi zimekubaliana kukuza uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kwa kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo ikiwemo uboreshaji wa sheria za uwekezaji, ukamilishaji wa ujenzi wa Kituo cha Pamoja cha Kasumulo na huduma za Bandari ya Mbamba Bey ili kukuza biashara na uchumi katika nchi hizo.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah Aprili 26, 2023 kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Ashatu Kijaji alipokuwa akihutubia Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi linalofanyika 26 – 29/04/2023 Mzuzu Malawi.

Aidha, amesema Tanzania inawakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Malawi kuja kuwekeza na kufanya biashara Tanzania katika sekta za kilimo, uvuvi, uchumi wa bluu, uzalishaji utalii, huduma za fedha, uchukuzi, miundombinu, mawasiliano, madini elimu na afya ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo

Vilevile amewataka wafanyabishara na wawekezaji wa Tanzania kutumia kikamilifu fursa zinazopatikana baina ya nchi hizo kulingana na raslimali zilizopo katika nchi hizo ili kuongeza kasi ya ukuaji wa biashara ambayo imefikia kiasi cha dola za Marekani milioni 86.7 mwaka 2022.

Naye Waziri wa Biashara na Viwanda wa Malawi Mhe. Simplex Chithyola Banda (Mb.) amesema Malawi iko tayari kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji baina ya nchi hizo uliopo tangu Uongozi wa Serikali ya Awamu ya kwanza ya Tanzania kwa kuendelea kuboresha mazingira ya biashara nchini humo.

Aidha amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Msaada wa chakula na vifaa vya kujihifadhi alioutoa wakati Malawi ilipokumbwa na kimbunga freddy Machi 2023

Kwa upande wa Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Humprey Polepole amesema kongamano hilo limewakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji zaidi ya 300 kujadili, na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili katika biashara zao baina ya nchi hizo. Pia amewashauri watanzania kuwa wabunifu na kushirikiana na wafanyabiashara wa Malawi kutumia fursa za biashara na uwekezaji zilizopo nchini Malawi ambayo ni moja ya nchi sisizokuwa na bahari

About the author

Alex Sonna