marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

romabet

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

kralbet

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

perabet

milanobet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

romabet giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

kralbet giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

kralbet

deneme bonusu

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

casinoroyal giriş

marsbahis

matbet

sekabet

Ankara escort

Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM,TAWEN NA WADAU WATOA ELIMU YA BIASHARA KWA WAJASIRIAMALI TEMEKE

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi Mwanahamisi Munkunda (wa kwanza kushoto) sambamba na Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Mtandao wa Uwezeshaji Wanawake Tanzania (TAWEN) Bi Janeth Mbene (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo Bi Florence Masunga (wa tatu kushoto) wakizungumza na mmoja wa wajasiriamali wanawake wakati wa semina ya mafunzo ya biashara na elimu kwa wajasiriamali wanawake wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam yaliyoratibiwa na TAWEN kwa kushirikiana na benki ya Exim Tanzania. Mafunzo hayo yalifanyika jana wilayani humo.

Maofisa waandamizi wa Benki ya Exim akiwemo Mkuu wa Bidhaa za Rejareja na Uhakika wa Mapato wa benki hiyo Bi. Mtenya Cheya (katikati) na  Meneja Msaidizi Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Bi Mariam Mwapinga (kushoto) wakinunua bidhaa kwa mmoja wa wajasiriamali wanawake ikiwa ni ishara ya kuwaunga mkono wajasiriamali hao wakati wa mafunzo ya biashara na elimu kwa wajasiriamali wanawake wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam yaliyoratibiwa na Mtandao wa Uwezeshaji Wanawake Tanzania (TAWEN) kwa kushirikiana na benki hiyo. Mafunzo hayo yalifanyika jana wilayani humo.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi Mwanahamisi Munkunda (pichani) akizungumza na washiriki wa semina hiyo.

Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  akizungumza na washiriki wa semina hiyo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa TAWEN Bi Florence Masunga akizungumza na washiriki wa semina hiyo.

Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi (TAWEN) Bi Janeth Mbene akizungumza na washiriki wa semina hiyo.

Baadhi ya maofisa wa Benki ya Exim Tanzania wakiwahudumia wanawake wajasiriamali wilayani Temeke waliohudhiria semina hiyo.

Washiriki wa semina hiyo ambao ni  wanawake wajasiriamali wilayani Temeke wakifuatilia semina hiyo.

Maofisa wa Benki ya Exim Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa TAWEN wakati wa semina hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi Mwanahamisi Munkunda (wa tano kushoto walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa kutoka TAWEN pamoja na benki ya Exim Tanzania wakati wa semina ya mafunzo ya biashara na elimu kwa wajasiriamali wanawake wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam yaliyoratibiwa na TAWEN kwa kushirikiana na benki hiyo. Mafunzo hayo yalifanyika jana wilayani humo

Na.Mwandishi Wetu-Dar es Salaam

 Benki ya Exim Tanzania kwa kushirikiana na Mtandao wa Uwezeshaji Wanawake Tanzania (TAWEN) wameendesha mafunzo ya biashara,  elimu ya fedha na mikopo kwa wajasiriamali wanawake waliopo wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam wakilenga kuwaandaa ili waweze kutumia vema mikopo, huduma na fursa mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo, serikali pamoja na halmashauri ya wilaya hiyo.

Mafunzo hayo ya siku moja yaliyowakutanisha  pamoja wajasiriamali zaidi ya 450 kutoka wilayani humo yalifunguliwa na  Mwenyekiti wa Bodi ya TAWEN Bi Janeth Mbene na kufungwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi Mwanahamisi Munkunda.

Akizungumza wakati akifunga mafunzo hayo Bi Munkunda pamoja na kuipongeza benki hiyo kwa kudhamini na kushiriki moja kwa moja katika uwasilishaji wa mada mbalimbali kuhusu elimu ya mikopo, huduma za kibenki na matumizi ya fedha wakati wa semina hiyo, alisema  mafunzo hayo yatawasaidia kwa kiasi kikubwa wajasiriamali hao kutumia vyema mikopo wanayoipata kutoka kwenye taasisi za fedha,  serikali na halmashuri ya wilaya hiyo ili kujikwamua kiuchumi.

 “Licha ya jitihada kubwa inayofanywa na halmashauri yetu pamoja na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Exim katika kutoa mikopo kwa vikundi mbalimbali vikiwemo vikundi vya kina mama bado tumekuwa hatupati matokeo mazuri sana kwasababu wengi wa walengwa wamekuwa wakishindwa kutumia vema mikopo husika na matokeo yake wanashindwa kufikia malengo. Tunawashukuru sana TAWEN, Benki ya Exim na wadau wengine kwa kuona hili kwa kuwa semina kama hizi zinasaidia kuondoa changamoto hiyo,’’ alisema.

Aliwasihi wajasiriamali hao kuzingatia mafunzo hayo sambamba na kuendelea kuunda vikundi vitakavyowawezesha kunufaika zaidi na mikopo inayotolewa na serikali, halmashauri na taasisi mbalimbali za fedha huku akiwasisitiza kutumia muda wao mwingi kwenye shughuli zinazowaingizia kipato sambamba na kuwekeza muda katika malezi sahihi ya watoto badala kutumia muda mwingi kufikiria zaidi sherehe zinazowaingiza kwenye matumizi yasiyo na ulazima.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika semina hiyo Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda pamoja nae Mkuu wa Bidhaa za Rejareja na Uhakika wa Mapato wa benki hiyo Bi. Mtenya Cheya walisema  ushiriki wa benki hiyo kwenye semina hiyo unalenga  kujenga uelewa wa kutosha kuhusu usimamizi bora wa kifedha, umuhimu wa huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo pamoja na namna bora ya kutunza akiba zao waweze kuendesha shughuli zao kitaalamu ili waepukane na hasara zinazoweza kukwamisha ustawi wa biashara zao.

“Katika mafunzo haya benki ya Exim pamoja na kuwa wadhamini tumejitahidi sana kuhakikisha walengwa wanajengewa uelewa wa kutosha kuhusu elimu ya kifedha sambamba huduma zetu zilizobuniwa mahususi kwa ajili yao ikiwemo akaunti ya ‘Supa Woman’ pamoja na akaunti ya ‘Wajasiriamali.’

“Huduma hizi zinalenga kurahisisha uendeshwaji wa biashara miongoni mwa wafanyabiashara wanawake na wafanyabiashara wadogo nchini kwa kuwawezesha kupata mikopo ya dharura ya hadi asilimia 90 ya kiasi kilichopo kwenye akaunti au hati fungani, mikopo ya nyumba na mikopo ya kawaida ya biashara. Zaidi pia kupitia akaunti yetu wa Supa Woman wateja wetu ambao ni wanawake wataweza kupata huduma ya bima ya maisha bure,’’ alibainisha Bi Kaganda.

Wakizungumzia mafunzo hayo, Mwenyekiti wa Bodi ya TAWEN Bi Janeth Mbene pamoja nae Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo Bi Florence Masunga walisema mafunzo hayo yatawasaidia kwa kiasi kikubwa wajasiriamali hao katika kuwajengea uwezo wa kibiashara kwa kuwa wengi wao wamekuwa wakishindwa kuendeleza vema biashara zao sambamba nakutumia vema mikopo wanayoipata kulingana na malengo kusudiwa.

“Changamoto kubwa kwa wajasirimali wanawake kama ilivyo kwa makundi mengine ni kukosekana kwa elimu ya kutosha katika uendeshaji wa shughuli zao hususani katika maeneo ya ukosefu wa elimu ya mikopo na elimu kuhusu fedha, kukosa washirika sahihi wa kibiashara, kukosa maeneo rasmi ya biashara na hata michango yao haitambuliki kitaifa licha ya wao kuwa na mchango mkubwa katika uendeshaji wa uchumi wa nchi kupitia biashara na kilimo,’’ alibainisha Bi Mbene.

About the author

Alex Sonna