Featured • Kitaifa MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU 2 years agoby mzalendoeditor4 Views Written by mzalendoeditor Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa kuu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn