marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

jojobet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

ngsbahis

piabellacasino

mislibet

ngsbahis

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

bets10

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

jojobet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

kalitebet

norabahis

Featured Kitaifa Uncategorized

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAANDALIZI YA DIRA 2050

Written by Alex Sonna
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akizindua rasmi Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050, hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023 (Kulia ni Waziri wa Fedha
na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwasalimu viongozi na wananchi mbalimbali wakati alipowasili
katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma kuzindua
Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 03
Aprili 2023. (Wengine pichani ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mussa Zungu,Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.
Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu
wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mipango Dkt. Natu Mwamba).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akizindua rasmi Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050, hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023 (Kulia ni Waziri wa Fedha
na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akihutubia Viongozi, Wadau wa Maendeleo pamoja na
Wananchi mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira
ya Taifa ya Maendeleo 2050, hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akihutubia Viongozi, Wadau wa Maendeleo pamoja na
Wananchi mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira
ya Taifa ya Maendeleo 2050, hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwakabidhi Waandishi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Dkt. Suzan Mlawi na Prof. Samuel Wangwe muongozo wa maandalizi ya dira
hiyo mara baada ya kuzindua Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050 katika hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023. (Kulia ni Waziri wa Fedha
na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050 mara baada ya kuzindua Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya
Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekta Binafsi, Watanzania wanaoishi Ughaibuni (Diaspora) na Wadau wote wa maendeleo kutoa ushirikiano wa kutoa maoni na taarifa kwa timu ya Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili uchambuzi uwe halisia na toshelevu.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2023. Amesema dira hiyo inatarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii ili kufikia lengo la kuwa Taifa lenye ustawi.

Makamu wa Rais amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha katika maandalizi ya Dira hiyo, Watanzania kutoka pande zote za nchi, kutoka matabaka mbalimbali ya maisha, makundi mahsusi kama Bunge na Mahakama yatapata nafasi ya kuchangia mawazo yao.

Makamu wa Rais ametoa wito wa mambo ya kuzingatia wakati wa maandalizi wa dira hiyo ikiwemo fursa ambazo hazijatumika ipasavyo hadi sasa na pamoja na kuzikamata fursa zinazochipukia, kuzingatia masuala ya elimu hususan sayansi, ufundi na ufundi stadi, utafiti na maendeleo, na ubunifu ili kukuza ujuzi na uwezo wa nguvukazi ya Taifa, namna ya kuvutia na kuasili teknolojia ili kukuza tija katika sekta zote za uzalishaji na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ikiwa pamoja na kuingia ubia wa kimkakati kuiwezesha Tanzania kuwapita washindani wake katika kipindi kifupi.

Ametaja mengine ya kuzingatia kama vile kubaini kiuhalisia rasilimali zote zinazohitajika kuwezesha utekelezaji makini wa Dira na mipango na kubainisha mfumo thabiti wa ufuatiliaji na tathmini kwa kuangalia vigezo mahususi vilivyowekwa pamoja na kujifunza kutoka katika nchi zilizofanikiwa kuendelea kwa kasi kuanzia miaka ya 1960 hususan zile za bara la Asia.

Makamu wa Rais ametaja hatua zilizopigwa na Tanzania hadi hivi sasa ikiwemo kujenga na kuimarisha utawala wa sheria, haki na demokrasia, Mhimili wa Mahakama kuimarisha kazi ya kutoa haki kwa wananchi pamoja na Serikali kuendelea kuzingatia sheria, mila na desturi za watanzania katika uendeshaji wa shughuli za kiserikali. Ameongeza kwamba uhuru wa vyama vya siasa na vyombo vya habari umeimarika pamoja na kupatikana mafanikio ya kuridhisha katika elimu ikiwemo kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi katika ngazi zote kuanzia shule za msingi hadi vyuo vya elimu ya juu.

Kwa Upande wake Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kupitia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 imeweza kufanikisha hatua mbalimbali za kimaendeleo kama vile uboreshaji wa miundombinu , ongezeko la shule, ukuaji wa sekta ya michezo pamoja na ukuaji wa uchumi kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

Awali akitoa taarifa ya Mchakato wa Maandalizi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Natu Mwamba amesema chimbuko la Maandalizi ya Dira 2050 imetokana na kuendeleza mafanikio yaliofikiwa kutokana na utekelezaji wa Dira 2025 pamoja na uhitaji wa mkakati utakaowezesha nchi kunufaika na maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia yanayoendelea kuibuka duniani.

Ameongeza kwamba Dira 2050 itahakikisha kuwa Tanzania inaendelea na mkakati utakaoainisha ajenda ya maendeleo ya nchi na mikakati mingine ya kikanda na kimataifa.

Uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa vyama vya Siasa, Wabunge, Wadau wa Maendeleo, Sekta binafsi , Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali hapa nchini, Viongozi wa dini pamoja na wananchi.

About the author

Alex Sonna