Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu