Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WANAWAKE NA WASICHANA HAWANUFAIKI NA TEKNOLOJIA-DKT.GWAJIMA

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza na  Waandishi wa Habari  jijini Dodoma kuelekea Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 08 kila Mwaka.

Na.Alex Sonna-DODOMA

IMEELEZWA Wanawake na Wasichana hawanufaiki ipasavyo na teknolojia ya kidigitali hali inayosababisha kushindwa kujikwamua Kiuchumi.

Hayo yamesemwa leo Machi 6,2023 jijini Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima wakati akizungumza na Waandishi wa Habari  kuelekea Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 08 kila Mwaka.

Dk.Gwajima amesema kuwa  wanawake na wasichana baadhi hawanufaiki na teknolojia ya kidigitali jambo linalowafanya kuzikosa baadhi ya fursa za kiuchumi na ajira.

“Ndugu Wanahabari, kwa ufupi, nikirejea takwimu za Dunia kwenye ripoti ya ‘UN-Secretary General’ kuhusu Kamisheni ya Hali ya Wanawake-CSW 67; inaonekana kuwa, wanawake na wasichana hawanufaiki ipasavyo na teknolojiaya kidigitali ” amesema Dk.Gwajima 

Aidha ametaja  vikwazo kwa wanawake kutumia mtandao  kuwa ni pamoja na kushindwa kumudu gharama, kutojua kusoma na kuandika, ukosefu wa ujuzi, ukosefu wa faragha na Usalama.

Amesema  katika nchi zenye uchumi wa chini  asilimia 76 ya watu wake wanazo simu zinazopokea mtandao lakini  asilimia 25 tu ndiyo wanatumia huo mtandao huku asilimia 52 wakiwa ni wanaume hivyo wanawake ni wachache zaidi.

Dk.Gwajima ametaja sababu nyingine  wananwake kuwa nyuma kwenye matumizi ya kidigitali kuwa ni maudhui kutokidhi, kutoona umuhimu, kutomiliki simu , kutofahamu, matatizo ya  upatikanaji wa nishati ya umeme, mila na desturi na vikwazo vingine.

”Mwaka 2022 takwimu zinaonesha  asilimia 63 ya wanawake duniani walitumia mtandao ukilinganisha na 69 ya wanaume huku uwezo wa wanawake kumiliki simu ukiwa chini kwa asilimia 12 ukilinganisha na wanaume.”amesema

Aidha amesema  Serikali kwa kushirikiana na Wadau itaendelea kuondoa vikwazo vyote vinavyokwamisha Wanawake kutumia Teknolojia na huduma za Kidigitali ili kujikwamua Kiuchumi.

“Mwaka 2020 mafunzo ya uendeshaji na ufundishaji wa TEHAMAyalitolewa kwa wakufunzi 1347 ambao wanaume 893 na wanawake 454, vilevile Serikali inawekeza katika ujenzi Barabara, Miundombinu ya Maji,Afya ,kilimo,ufugaji na Sekta zote ambapo uwekezaji huo ni nguzo kubwa katika kukuza Uchumi.”Amesema Dkt Gwajima.

Dkt Gwajima amesisitiza Wanawake kutumia Majukwaa ya uwezeshaji Kiuchumi yaliyoundwa kwenye ngazi zote katika mikoa 12 hadi sasa, ili kunufaika na fursa za Uwezeshaji zinazotolewa na Serikali pamoja na Wadau wengine.

Ameeleza kuwa maadhimisho ya siku ya Wanawake Mwaka huu nchini yatafanyika katika ngazi za Mikoa kwa kuratibiwa na viongozi wa Mikoa, ambapo kaulimbiu ni “Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia:Chachu katika kufikia usawa wa Kijinsia”

About the author

Alex Sonna