Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

TAKUKURU YATAKIWA KUFANYIA KAZI SUALA LA UANACHAMA WA KUDUMU KWA WANAFUNZI WANAOHITIMU

Written by Alex Sonna

 

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za Sekondari zilizopo Mkoani Dodoma.

MKUU  wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Sosthenes Kibwengo,akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za Sekondari zilizopo Mkoani Dodoma.

MKUU wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri,,akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za Sekondari zilizopo Mkoani Dodoma.

SEHEMU ya wanafunzi wakimsikiliza Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za Sekondari zilizopo Mkoani Dodoma.

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamuleakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za Sekondari zilizopo Mkoani Dodoma.

Na.Erick Mungele-DODOMA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kulifanyia kazi suala la uanachama wa kudumu kwa wanafunzi wanaohitimu,ili kuhakikisha wanakuwa mabalozi wazuri wa rushwa, ikiwemo kutambulika hata kama watakuwa wamemaliza masomo yao. 

Senyamule ametoa agizo hilo jijini Dodoma wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi 460 wa kidato cha sita ambao ni wanachama wa klabu za wapingwa rushwa kutoka shule mbalimbali za sekondari zilizopo mkoani Dodoma.

Amesema kuwa elimu walioipata shuleni kuhusu nidhamu na uadilifu kwenye suala zima la rushwa wanapaswa kuiendeleza wakiwa uraiani,hususani utoaji elimu kwa raia ambao hawana uelewa na madhara ya kutoa na kupokea rushwa.

”TAKUKURU   inapaswa kulifanyia kazi,ili wanapomaliza waweze kutambulika na kuendelea kutoa elimu ya kupiga vita rushwa kwa jamii.”amesema RC Senyamule

Hata hivyo Senyamule amezipongeza klabu za wapinga rushwa ambazo ziko hai,huku akisisitiza kuendelea kuzisimamia kwa sababu zinawajenga vijana tokea awali kukataa rushwa ambayo inachangia kupata viongozi wazembe.

Kwa upande wake Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Sosthenes Kibwengo ,amesema jukumu la kupiga vita rushwa ni la kila mmoja,hivyo wanafunzi wanaohitimu nao wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwenye kupiga vita rushwa kutokana na elimu walioipata katika klabu za kupinga rushwa.

“Vijana hawa wameiva vizuri katika masuala ya rushwa,naamini wanakwenda kuwa mabalozi wazuri wakiwa uraiani,”amesema Bw. Kibwengo.

Naye ,Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri,amesema katika shindano la mdahalo kuhusu kupiga vita rushwa,baina ya shule na shule amepanga kutoa zawadi nzuri kwa shule ambayo itafanya vizuri katika shindano hilo,tofauti na shindano lililopita.

About the author

Alex Sonna