Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MEYA JIJI DODOMA AZIFUNDA KAMATI ZA URASIMISHAJI

Written by Alex Sonna

Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis G. Mwamfupe wakati akifungua mafunzo kwa Kamati za Urasimishaji kutoka Mitaa ya Bihawana, Mapinduzi A, Mapinduzi B na Mpunguzi yaliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi katika ukumbi wa Mkandarasi, tarehe 4/3/2023 Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati za Urasimishaji kutoka katika Mitaa ya Bihawana, Mapinduzi A, Mapinduzi B na Mpunguzi wakifuatilia mafunzo yaliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi katika ukumbi wa Mkandarasi, tarehe 4/3/2023 Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati za Urasimishaji kutoka katika Mitaa ya Bihawana, Mapinduzi A, Mapinduzi B na Mpunguzi wakifuatilia mafunzo yaliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi katika ukumbi wa Mkandarasi, tarehe 4/3/2023 Jijini Dodoma

Na Magreth Lyimo, WANMM

Kamati za urasimishaji zimeelekezwa kutokuwa miungu watu na badala yake zimetakiwa kusimamia na kuwa kiunganishi kati ya wananchi na wataalamu wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) watakaoenda kutekeleza zoezi la urasimishaji katika Jiji la Dodoma.

Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis G. Mwamfupe tarehe 4 Machi 2023 wakati akifungua mafunzo kwa Kamati za Urasimishaji kutoka Mitaa ya Bihawana, Mapinduzi A, Mapinduzi B na Mpunguzi katika ukumbi wa Mkandarasi Jijini Dodoma.

– Advertisement –

Prof. Mwamfupe alisema ‘‘kamati zilizochaguliwa zinapaswa kutoa ushirikiano mkubwa kwa wataalamu wa mradi ili kutimiza malengo yaliyopo kwa kuwa ni viungo kati ya wataalamu na wananchi na sio kwenda na kujifanya miungu watu na kusahau kuwawakilisha wananchi waliowachagua’’.

Aliendelea kusisitiza kuwa, kamati hizo zina jukumu la kuendelea kutoa elimu kwa wananchi na ni vyema zikashawishi kuondokana na mila potofu hasa kwa wale wanaosema ukipimiwa ardhi inashuka thamani ambapo alisema kuwa hizo ni fikra potofu na zinatakiwa kupingwa kwa sababu unapopimiwa unaongeza thamani na kukupa uhakika wa mipaka yako

 ‘‘Makazi holela yanawanyima wakazi nchini mwetu kuweza kutumia makazi yao waliyoyajenga kwa shida na kwa kipindi kirefu kama kitu cha kuwasaidia katika mikopo hivyo nchi ikaona kuwa miongoni mwa mambo ya kuwainua wananchi wake ni kutambua makazi yao ili yawe rasmi’’. Alisema Prof Mwamfupe

– Advertisement –

Diwani wa Mtaa wa Bihawana, Kata ya Mbabala Mhe. Paskazia Mayala aliahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wataalamu lakini pia kutoa elimu zaidi kwa jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali na kusema kuwa mradi wa uboreshaji milki za ardhi ni mzuri kwa kuwa hakutakuwa na mtu kuhamishwa ila utapimiwa pale pale ulipo.

Mwakilishi wa wananchi katika Kamati ya Urasimishaji Bw. David Marco ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi B Kata ya Ng’ong’onha alieleza kuwa, wananchi wa mtaa wake wamepokea mradi huu kwa kuwa wataalamu walitoa elimu sana wakati wa zoezi la uhamasishaji na wananchi wameona watanufaika kwa kupimiwa viwanja vyao pasipo kuhamishwa.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii Mwanadamizi kutoka Wizara ya Ardhi ambae pia ni Mtaalamu wa masuala ya Jamii katika Mradi Bi. Tumaini Setumbi alisema kuwa Mradi huo utahakikisha haki zinasimamiwa kwa makundi yote maalumu ya kinamama, Wazee, Watoto na watu wenye ulemavu ili waweze kupata haki zao za umiliki wa Ardhi sawa na watu wengine.

“Idadi ya Wanawake wanaomiliki Ardhi ni ndogo ukilinganisha na Wanaume hivyo moja kati ya kazi yetu ni kuielimisha jamii kuwa Wanawake pia wanayo haki sawa na Wanaume katika kumiliki Ardhi” aliongeza Setumbi.

Mafunzo hayo kwa kamati ni mwendelezo wa mafunzo ambayo yanatolewa na Mradi ili kupata uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa mradi pamoja na Kamati za urasimishaji zitakazo saidia kuwa kiungo kati ya wananchi na wataalamu lengo likiwa ni kuhakikisha ushirikishwaji wa mwananchi katika hatua zote za mradi unasimamiwa kwa karibu. 

About the author

Alex Sonna