Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

KIMBISA AITAKA KAMATI YA SIASA KATA YA KILIMANI DODOMA KUIMARISHA UMOJA

Written by Alex Sonna

 

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa,akizungumza na Wajumbe wa kamati ya Siasa kata ya kilimani katika muendelezo wa utaratibu wake wa kukutana na kamati za siasa za Dodoma.

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Dodoma Pili Mbanga,aakizungumza wakati wa kikao cha Wajumbe wa kamati ya Siasa kata ya kilimani jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Siasa kata ya kilimani katika muendelezo wa utaratibu wake wa kukutana na kamati za siasa za Dodoma.

Na.Barnabas Kisengi -DODOMA

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma CCM Alhaji Adam Kimbisa ameitaka kamati ya Siasa ya Kata ya kilimani kuhakikisha inasima na kuhakikisha viongozi wa chama na Serikali wanafanya mikutano ya hadhara kwa Wananchi  na kuwaeleza  miradi mbalimbali inayotekelezwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati akizungumza na Wajumbe wa kamati ya Siasa kata ya kilimani kuhusu mikakati ya kuimarisha Cha Mapinduzi kuanzia ngazi ya shina,tawi,kata,wilaya hadi Mkoa kuelekea chaguzi zijazo za wenyeviti wa Serikali za Mitaa mwakani na kufuatiwa na Uchaguzi Mkuu 2025 wa madiwani,wabunge na Rais.

“Niwaeleze Ukweli mwaka 2020 mkoa wa dodoma hatukufanya vizuri hasa wilaya ya dodoma Mjini katika kura za Mhe RAIS hivyo nimewaita hapa tujiwekee mikakati ya kuimarisha Chama na kuhakikisha kuanzia Sasa tunajipanga vizuri katika chaguzi za mwakani za Wenyevyiti wa Serikali za Mitaa hivyo lazima tuanze kujipanga mapema kwa wanachama wetu” amesema Alhaji Kimbisa

Aidha Alhaji Kimbisa akawashukia Diwani wa kata ya kilimani Neema Mwaluko na katibu wa CCM kata ya kilimani kuhakikiaha wanavuja makundi yao ya uchaguzi wa 2020 na 2022 ili waweza kufanya kazi kama timu moja ya kukijenga Chama cha Mapinduzi hasa kata ya kilimani kwakuwa kata ya kilimani ndio kata kubwa iliyobeba viongozi wengi wakubwa wa serikali na Chama.

“Nafahamu tangu nimeanza kusikiliza vikao hivi vya kamati za siasa malalamiko mengi ya kutoka elewana ni Diwani na katibu hivyo muwe makini maana kikao cha mwisho cha kuwajadili ni kikao changu cha mkoa hivyo msitegemee mtafika mbali hapa kwangu Ndio Mwisho wenu na tukiangalia wote ni wa CCM Sasa magomvi ya Nini” amesema Alhaji Kimbisa

Nafahamu kuwa Diwani ukiitwa kwenye vikao huendi hujui kamati ya siasa ni chombo kikubwa Sasa kwenye kata yako pia hamfanyi mikutano ya wanachi kuwaekeza Juu ya Chama na serikali imefanya nini hivyo nawaagiza hakikisheni mnavunja makundi na kufanya mikutano kwa wananchi ili watambue Serikali ya awamu ya sita imefanya nini kuwaletea maendeleo.

Alhaji Kimbisa pia ameiagiza kamati ya siasa ya kata kuhakikiaha inaongeza idadi ya wanachama kwakuwa idadi iliyopo hairidhishi kabisa kama mnaniambia kata ina zaidi ya watu elfu 9,000 na hadi Sasa mnaeanachama elfu 1,800 ni sawa naeasilimia 19 hii bado ni ndogo sana sasa hakikisheni mnafanya vikao na kuwashawishi Wananchi kuwa na kadi za CCM.

Mhe Diwani hakikisha unafanya mikutano na kukamilisha ahadi mlizowaahidi Wananchi kwenye kata hii itatatujengea imani kubwa kwa Wananchi wetu ambapo mwakani tusimamie nguvu kubwa kuwashawishi Wananchi hapo kila moja akitimiza wajibu wake tutafikiwa vizuri katikaechaguzi zijazo.

Aidha Alhaji Kimbisa amemwagiza Diwani wa kata ya kilimani kuhakikisha Jumatatu anafika Katika ofisi za Halimashauri ya Jiji la Dodoma kufuatilia nyaraka za maeneo yaliyotengwa kwa shughuli za taasisi hata eneo lililotengwa kwa ajili ya shule ya secondary na eneo la wazi na msikitini ambayo amesema yamepitiwa na kivuko cha reli ya mwendo kasi viwanja vilivyobaki vimebaki kiasi gani na kwa matumizi gani na kuwasilisha taarifa hiyo kwa kamati ya Siasa ya kata na kwa makatibu CCM wilaya na Mkoa ili kuweza kujua utatuzi wa kupata eneo la Ujenzi wa secondary kutokana na kata hiyo kongwe kutokuwa na shule ya secondary tangu kuanzishwa kwa kata hiyo ya kilimani jijini Dodoma.

Kwa Upande wake Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma Pili Mbanga  ameitaka kamati ya siasa kata kutambua majukumu yao na kuhakisha wanaongeza idadi ya wanachama na kushuka chini kwenye matawi na mashina kuhakikisha wanafanya vikao kwa wanachama ili kuweza kuimarisha Cha kuanzi ngazi ya chini

Aidha amewataka Viongozi wote kwa ujumla ambao Bado wanamakundi ya uchaguzi kuhakikisha wameyavunja na kuwa na kundi moja tu la CCM na kuendelea kuinadi na kuisimamia ilani ya chama Cha Mapinduzi na kuisimamia Utekelezaji wa ilani yetu

Vikao hivi vya kamati ya siasa za kata na mwenyeki wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa ni vikao vya kuimarisha chama na kuchukua changamoto mbalimbali zilizopo Katika kata na kuzipatia ufumbuzi wa haraka Ili kujiandaa na chaguzi zijazo na changamoto kubwa inayojitokeza katika kata nyingi ni changamoto ya migogoro ya aridhi na kutokuwa na maelewano kati ya madiwa na Makatibu kata na vikoa hivi vya mwenyeki wa CCM Mkoa na kamati za siasa vineanzia Katika wilaya ya dodoma Mjini ambapo mwenyeki wa CCM Mkoa anaendelea kukutana na kamati za siasa kata zote 41 za Dodoma Mjini.

About the author

Alex Sonna