Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat giriş 2027

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bugeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wageni kutoka Arusha waliotembela Bunge jijini Dodoma Februari 2, 2023. Kushoto kwake ni Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo. (

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye kila sekta ya utumishi wa umma na kwamba pale patakapojitokeza uvunjifu wa maadili na miiko iliyowekwa, hatua stahiki za kinidhamu zitachukuliwa.

Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa walimu wakuu na wakuu wa shule kutumia walimu wa malezi, ushauri na unasihi pamoja na Viongozi wa Dini katika kuwarekebisha watoto na kuwajenga kimaadili ili kuepukana na matumizi ya adhabu ikiwemo viboko.

Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Februari 2, 2023) wakati akitoa taarifa kuhusu masuala ya ukatili shuleni katika Kikao cha Tatu cha Mkutano wa 10 wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma. Taarifa imelenga kufafanua changamoto ya nidhamu na malezi ya wanafunzi na adhabu zinazotolewa shuleni.

Waziri Mkuu amesema shule zimekuwa kioo cha malezi ya watoto katika kusimamia na kujenga nidhamu katika jamii na jukumu hilo limekuwa likitekelezwa na walimu na wazazi kwa lengo la kuwajenga watoto hasa wanapokwenda kinyume na nidhamu, ambapo viboko hutumika kama moja ya adhabu ya kuwarejesha katika mstari. 

Amesema ili kuhakikisha adhabu hiyo inaleta tija na kufikia malengo yaliyokusudiwa, Serikali iliweka utaratibu maalumu wa namna ya kusimamia adhabu hiyo bila kuathiri afya na saikolojia ya mtoto. “Licha ya kuwepo kwa mifumo hiyo, bado wapo baadhi ya watu wamekuwa wakifanya ukiukaji wa sheria na taratibu hizo na kusababisha madhara makubwa kwa jamii”

“Hivi karibuni tumeshuhudia kupitia vyombo vya habari, vitendo vya adhabu kali dhidi ya wanafunzi kwa baadhi ya shule zetu. Adhabu hizo zimefanywa na baadhi ya walimu walio na mafunzo ya kutosha ya malezi, mahali pengine Mwalimu Mkuu mwenye dhamana ya kuongoza shule, ambaye anafahamu utaratibu wa utoaji wa adhabu shuleni”. 

Amesema Serikali haitofumbia macho na wala kukubaliana na aina hiyo ya adhabu kali na kwamba tayari imechukua hatua za kinidhamu kwa wahusika. “Nitumie fursa hii adhimu, kukumbusha mamlaka za Elimu nchini kuhakikisha kuwa utoaji wa adhabu shuleni unazingatia Waraka Na. 24 wa Mwaka 2002 wa Wizara ya Elimu na Utamaduni”.

Waziri Mkuu amesema waraka huo umeelekeza kwamba adhabu itazingatia ukubwa wa kosa, jinsia na afya ya mtoto na isizidi viboko vinne kwa wakati mmoja; mwanafunzi wa kike atapewa adhabu ya viboko mkononi na mwalimu wa kike tu isipokuwa kama shule haina mwalimu wa kike.

Pia, adhabu ya viboko inapotolewa iorodheshwe katika kitabu kilichotengwa kwa kusudi hili ikiwa ni pamoja na jina la mwanafunzi aliyepewa adhabu, kosa alilotenda, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa adhabu hiyo; Mwalimu Mkuu atie saini katika kitabu kila mara adhabu inapotolewa na mwanafunzi akikataa adhabu hiyo atasimamishwa shule.

Mheshimiwa Majaliwa ameongeza kuwa waraka umeweka bayana kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa mwalimu yeyote atakayekiuka utaratibu wa adhabu ya viboko. “Hapa nisisitize kuwa hatua kali zitachukuliwa hata kwa walimu wakuu au wakuu wa shule wanaokiuka utaratibu uliowekwa”.

“Licha ya changamoto zilizojitokeza na hatua za awali zilizochukuliwa, naomba kusisitiza kuwa bado shule zetu ni mahali salama kwa malezi ya watoto wetu na walimu wetu wameendelea kufanya kazi nzuri kwa bidii na kujituma. Changamoto ya nidhamu mbaya ya wanafunzi si jukumu la walimu pekee kulisimamia”. 

Hivyo, Waziri Mkuu amesema wazazi na jamii kwa ujumla wanapaswa kushirikiana kwa karibu na walimu katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ya kuwafundisha, kuwalea, kuwaongoza na kuwaendeleza wanafunzi kimwili, kiakili na kiroho kwa uadilifu na kwa kuzingatia sheria, mila, desturi na tamaduni za Kitanzania. 

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema kuwa walimu wamekuwa wakifanya kazi kubwa sana kuliko mapungufu machache tunayoyaona hasa kupitia mitandao ya kijamii. Walimu wamekuwa wakifundisha, wakilea vijana wetu katika mazingira tofauti pamoja na kutoa huduma mbalimbali ambazo nyingine zilitakiwa kutolewa na wazazi au walezi.

“Bahati mbaya kwa jamii zetu ni kuwa, jambo baya husambaa kwa haraka zaidi kuliko jema. Hata hivyo, licha ya mapungufu kutoka kwa baadhi ya walimu kama nilivyoainisha, walimu wetu wanafanya mambo mengi na makubwa ya kimalezi kwa watoto wetu ambayo pengine hayasambazwi na kuonekana”. 

Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa jamii kutobeza juhudi zinazofanywa na walimu wetu badala yake tuwatie moyo, hasa wale wanaozingatia miiko ya taaluma zao na misingi ya malezi. “Pia nitoe wito kwa jamii, hasa wale wanaochukua au kupata matukio haya na kuyarusha kwenye mitandao, kutofanya hivyo, kwani yanajenga chuki kwa walimu na taswira hasi kwa walimu wote badala ya wahusika wachache”. 

Amesema yanapotokea matukio kama hayo taarifa zake zitumwe kwa mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe badala ya kuleta taharuki kwa jamii nzima. “Ninaomba nieleweke hapa kuwa lengo si kuficha taarifa, bali ni kuzuia taharuki, chuki na uhasama ndani ya jamii zetu. Si kwa walimu tu bali kwenye nyanja nyingine za utumishi kama afya, vyombo vya ulinzi na usalama na maeneo mengine yanayofanana na hayo”.

“Ninatambua si kusudio la walimu kuwadhuru wanafunzi lakini tukubaliane kuwa kuna udhaifu katika utaratibu wa utoaji na usimamizi wa adhabu ya viboko shuleni. Hivyo, nitoe wito kwa Maafisa Elimu wa Mikoa na Wilaya kuwakumbusha walimu wote nchini kuzingatia mwongozo wa utoaji adhabu shuleni chini ya kifungu Na. 61 cha Sheria ya Elimu, Sura ya 353 ya sheria zetu pamoja na kanuni zake”. 

About the author

Alex Sonna