slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

https://blog.r10.net

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

casibom giriş

dlakjfol

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

matbet

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAASKOFU KUKABILIANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Maaskofu, Wachungaji na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Anglikana kutoka Tanzania na Mataifa mengine duniani wakati wa Kongamano la Mashauriano la Maaskofu na Viongozi wa Kanisa hilo Duniani kuhusu kupiga vita Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu linalofanyika Ramada Jijini Dar es salaam. Tarehe 30 Januari 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Wakuu, na Viongozi wa Kanisa la Anglikana kutoka Tanzania na Mataifa mengine duniani mara baada ya kufungua  Kongamano Mashauriano la Maaskofu na Viongozi wa Kanisa hilo Duniani kuhusu kupiga vita Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu linalofanyika Ramada Jijini Dar es salaam. Tarehe 30 Januari 2023.

**********************

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imejitolea kuzuia na kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu kwa kuhakikisha inatambua na kushughulikia mambo mbalimbali ya kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa ambayo yanawafanya watu kuwa hatarini na kuhusika katika biashara hiyo haramu.
 
Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 30 Januari 2023 wakati akifungua Kongamano la Mashauriano la Maaskofu, Wachungaji na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Anglikana kutoka Tanzania na Mataifa mengine duniani kuhusu kupiga vita Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, kongamano linalofanyika Ramada Jijini Dar es salaam.
 
Amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wengine inaendelea kuchukua hatua madhubuti ili kuharakisha ukuaji wa uchumi, kupunguza umaskini, na kuboresha ustawi wa kijamii na kiuchumi wa wananchi ili kuwaepusha na kadhia ya biashara hiyo.
 
 Aidha Makamu wa Rais ameongeza kwamba ili kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu, serikali imeendelea kujenga taasisi imara ili kurahisisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za kadia hiyo pamoja na kutunga sheria ikiwa ni pamoja na Sheria ya Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu ya mwaka 2008.
 
Aidha Makamu wa Rais ameeleza kwamba Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi na Uhamiaji, Mahakimu, Waendesha Mashtaka, Viongozi wa Serikali za Mitaa, Maafisa Ustawi wa Jamii na wadau wengine ili kuwapatia maarifa na zana za kukabiliana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu pamoja na kuanzisha Sekretarieti ya Kuzuia biashara hiyo ikiwa ni nchi ya pili barani Afrika kuwa na chombo maalum cha kuzuia na kupambana na suala hilo.
 
Makamu wa Rais amesema kutokana na juhudi zilizofanywa na Tanzania katika kukabiliana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu,Serikali imefanikiwa kuokoa wahanga 905 pamoja na kuwa na jumla ya kesi 73 za usafirishaji haramu wa binadamu zinazowahusisha wahalifu 133 ambao wamefikishwa mahakamani huku jumla ya wahalifu 86 wakikutwa na hatia na kuhukumiwa vifungo gerezani.
 
Makamu wa Rais ametoa wito kwa Kanisa kutambua jukumu kubwa walilonalo la kuwaelimisha waumini wake kutenda haki ikiwemo kuwalipa vema wafanyakazi wao wa nyumbani badala ya kujinufaisha na kuwadhulumu.
 
 Pia Dkt. Mpango ametoa wito kwa Kanisa pamoja na mashirika mengine ya kidini nchini kushirikiana na serikali katika kuwatambua wahanga wa biashara haramu ya usafirishaji binadamu na kuwasaidia kwa kuwapatia makazi, matibabu, huduma za kiroho na pia kutoa ushauri nasaha utakaorahisisha waishi vema katika jamii. 
 
Amesema hakuna budi kwa sasa Kanisa kushirikiana na Serikali kuwabaini wahusika na kuwaripoti kwenye mamlaka husika ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ili kulinda vizazi vya sasa na vijavyo.
 
Akimkaribisha Makamu wa Rais katika Kongamano hilo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Mndolwa amesema katika mazingira mbalimbali waathirika wa biashara haramu ya usafirishaji binadamu wanaingia katika kadhia hiyo pasipo kutambua na baadae wanawekewa mazingira ya kukubaliana na hali hiyo ya unyonyaji na uondoaji utu.
 
 Amesema suala hilo ni dhambi kubwa katika dunia ya sasa hivyo kama kanisa wamekusanyika kutafuta njia mbalimbali za namna ya kumaliza tatizo hilo.
 
Askofu Mndolwa amesema Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa Mkutano huo kutokana na jitihada zinazofanywa na serikali kupambana biashara hiyo ya usafirishaji haramu wa binadamu.
 
Awali Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mashirikiano ya Maendeleo ya Kanisa la Anglikana Duniani (USPG) Mchungaji Dkt. Duncan Dormor kutoka nchini Uingereza amesema katika Kongamano hilo wanatarajia kubadilishana uzoefu pamoja na kuweka nia thabiti ya kufanya kazi pamoja ulimwenguni ya kupiga vita biashara haramu ya binadamu kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine.
 
 Ameongeza kwamba unyonyaji na utoaji haki na utu wa mwanadamu kupitia biashara haramu ya binadamu unakiuka Imani ya kikristo inayoeleza kila binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu na anathamani kubwa mbele yake.
 
Kongamano Mashauriano la Maaskofu Wakuu, Maaskofu na Viongozi wa Kanisa la Anglikana Duniani kuhusu kupiga vita Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu linafanyika kwa siku saba likiwa na kauli mbiu isemayo “Set my People Free: The Call of the Church against Human Trafficking.”

About the author

Alex Sonna