Featured Kitaifa

WATUMISHI SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UFASAHA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA.

Written by Alex Sonna

Afisa Programu  Wizara ya Afya,Idara ya Afya ya Uzazi ,Mama na Mtoto ,Jackline Ndanshau akizungumza na watumishi kada ya Afya  katika ufungaji wa kikao   cha watalaam wa Afya Kanda ya Magharibi inayounda mikoa Tabora ,Katavi na Kigoma cha kujadili mikakati ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga.

vlcsnap-2023-01-24-00h36m51s264.png

Aziza Machenje ,Muuguzi Mbobezi  Idara ya Huduma za Ukunga na Uuguzi ,Wizara ya Afya 

vlcsnap-2023-01-24-00h39m54s725.png

Honoratha Faustine Rutatinisibwa,mganga  mkuu mkoa wa Tabora  akizungumza na watumishi kada ya Afya  katika ufungaji wa kikao   cha watalaam wa Afya Kanda ya Magharibi inayounda mikoa Tabora ,Katavi na Kigoma cha kujadili mikakati ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga.

IMG_0068.JPG

IMG_0040.JPG

IMG_0021.JPG

Baadhi ya watalaam wa Afya kanda ya Magharibi ikiwemo waratibu afya ya uzazi na mtoto ngazi ya mkoa na waganga wakuu wa mikoa  kanda ya Magharibi wakijadili mikakati ya kupunguza vifo vya mama mjamzito na mtoto katika kanda hiyo.

……………………………..

Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa Umma,Wizara ya Afya[MOH-HPS],Tabora

Rai imetolewa kwa watumishi sekta ya afya kanda ya Magharibi kufanya kazi kwa ufasaha na kwa kutumia lugha zenye staha katika kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga.

Rai hiyo imetolewa mkoani Tabora na Afisa Programu  Wizara ya Afya,Idara ya Afya ya Uzazi ,Mama na Mtoto  Jackline Ndanshau katika ufungaji wa kikao cha watalaam wa Afya Kanda ya Magharibi inayounda mikoa Tabora ,Katavi na Kigoma cha kujadili mikakati ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga katika kanda hiyo.

Ndanshau amesema ni muhimu watoa huduma  za afya kuangalia mapema katika ufuatiliaji wa mama mjamzito na mtoto mchanga anapozaliwa katika kuepusha vifo .

“Wizara inategemea mipango kazi tuliojiwekea inakwenda kutekelezwa ,rai yangu kwa watumishi kanda ya magharibi ni kufanya kazi kwa ufasaha na kwa lugha zenye staha katika kuwavusha salama mama wajawazito na watoto wachanga”amesema Ndanshau.

Muuguzi Mbobezi  Idara ya Huduma za Ukunga na Uuguzi ,Wizara ya Afya Aziza Machenje amehimiza kwa watumishi wa  afya kubadilisha mwenendo na tabia  katika kupunguza vifo vya mama na mtoto.

“Tujitahidi kufanya kazi kwa ueledi,tubadilishe  tabia na mwenendo na kuwa na ujuzi wa kutosha katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga ,na imeonekana kwamba asilimia kubwa ya akina mama wanapoteza maisha kabla na baada ya kujifungua kwa kupoteza damu nyingi sana ikifuatia na kifafa cha mimba au kifafa cha uzazi ,hivyo rai yangu kwa viongozi tuweze kuwajibika kwa wale tunaowaongoza ili kuweza kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga”amesema.

Kwa upande wake Mganga mkuu mkoa wa Tabora  Honoratha Faustine Rutatinisibwa  amehimiza mpango kazi wa kupunguza vifo vya mama na mtoto  kanda ya Magharibi unafika kila ngazi ya utekelezaji huku Mratibu wa Huduma za Uzazi na Mtoto mkoa wa Katavi Elida Machungwa akiahidi kuweka nguvu za pamoja katika utekelezaji wa mpango huo.

Ikumbukwe kuwa takwimu za vifo vya  mama wajawazito kanda ya Magharibi zinabainisha kuwa , Mwaka 2019 akina mama wajawazito 210 walipoteza maisha; ambapo, Kigoma vilikuwa vifo 100, Tabora 62 na Katavi 48.

Mwaka 2020 akina mama 235 walipoteza Maisha; ambapo Kigoma vilikuwa vifo 119, Tabora 58 na Katavi 58, na Mwaka 2021 akina mama 174 walipoteza Maisha; ambapo Kigoma vilikuwa vifo 75, Tabora vifo 58 na Katavi vifo 41.

Sababu kubwa zilizosababisha vifo vya  wajawazito ni pamoja na Kutokwa damu nyingi baada ya kujifungua,Kifafa cha mimba, Kupasuka mfuko wa Uzazi,Kutokwa na damu nyingi kabla ya kujifungua, Upungufu mkubwa wa damu,Uambukizo wakati na baada ya kujifungua huku hali ya vifo  Mwaka 2020 vitokanavyo na uzazi  kitaifa vilikuwa 1,640 na Mwaka 2021 vilikuwa 1,588.

 

Takwimu za vifo vya watoto wachanga kuanzia siku 0-28 katika Kanda ya Magharibi kwa mwaka 2021  ni watoto wachanga 2,539 walipoteza maisha; ambapo Kigoma vilikuwa ni vifo 1,026, Tabora vifo 954, na Katavi vifo 559  kushindwa kupumua, watoto kuzaliwa  njiti,uambukizi kwa watoto wachanga,na kuzaliwa na uzito pungufu.

Katika kiwango cha mimba za utotoni kanda ya Magharibi Mkoa wa Katavi ni 25.2%, Tabora 17% na Kigoma 11.9% na hudhurio la kwanza la wajawazito chini ya wiki kumi na mbili kwa mkoa wa Tabora ni 34.4%, Katavi 41% na Kigoma 54.9% na kiwango cha utumiaji wa njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa mkoa wa Katavi ni 41%,Kigoma 46.4%,na Tabora ni 60.1%.

About the author

Alex Sonna

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno