Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

TAASISI ZA WIZARA YA FEDHA ZAHIMIZWA KUWASILIANA KIMKAKATI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu (sehemu ya rasilimali watu), Bw. Benjamin Chilumba, akifungua Kongamano la Siku mbili la  Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa niaba ya  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, linalofanyika mkoani Morogoro.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny Mwaipaja akisema jambo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Siku mbili la Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango linalofanyika mkoani Morogoro.

 Baadhi ya Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakisiliza kwa umakini mada mbalimbali wakati Kongamano la Siku mbili la Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango linalofanyika mkoani Morogoro.

Baadhi ya Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakisiliza kwa umakini mada mbalimbali wakati Kongamano la Siku mbili la Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango linalofanyika mkoani Morogoro.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Innocent Primus Mungy akitoa mada kwa   jambo wakati wa kongamano la Siku mbili la Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango linalofanyika mkoani Morogoro.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Benjamin S. Chilumba (katikati waliokaa), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny Mwaipaja (wapili kushoto waliokaa), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Innocent Primus Mungy (wapili kulia waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakati wa Kongamano la Siku mbili linalofanyika mkoani Morogoro.

 

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Morogoro)

……………………………………..

Na. Saidina Msangi, WFM, Morogoro

Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wametakiwa kuwasiliana kimkakati ili kufikisha taarifa zinazohusiana na Wizara pamoja na Taasisi zake kwa wananchi kwa kuzingatia viwango na kwa wakati.

Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, ambaye aliwakilishwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu (sehemu ya rasilimali watu), Bw. Benjamini Chilumba, katika ufunguzi wa kongamano la Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, lililofanyika mkoani Morogoro.

Alisema kuwa kongamano hilo litatoa fursa kwa washiriki kujadili changamoto zinazowakabili ili kuzipatia ufumbuzi utakaoongeza utendaji kazi na ufanisi katika majukumu ya kila siku kwa maendeleo ya Wizara  na Taifa kwa ujumla.

Alisema kuwa ushiriki katika kongamano hilo ni ishara njema kwa ustawi wa Wizara na Taasisi zake katika kukuza na kuimarisha Mawasiliano kwa Umma na kuwa michango, ushauri na mapendekezo yatakayotolewa  kupitia majadiliano yatafanyiwa kazi ili kuboresha zaidi Kongamano lijalo pamoja na kuendeleza mahusiano mazuri ya kimawasiliano kati ya Wizara na Taasisi zake.

‘‘Ninawaagiza Wakuu wa vitengo vya mawasiliano wote kuendelea kutumia jukwaa hili kujadili na kubadilishana uzoefu wa masuala mbalimbali ya Mawasiliano ya Umma na usambazaji wa taarifa kwa wadau wetu, ni matumaini yangu kuwa siku za usoni kongamano hili litakuwa ni miongoni mwa makongamano bora na makubwa zaidi nchini’’, alisema Bw. Chilumba.

Alitoa rai kuwa kongamano hilo ambalo ni la kwanza kufanyika katika siku zijazo lishirikishe wadau wengi zaidi wa mawasiliano ili kuweza kupata mawazo tofauti na kujenga mahusiano mazuri na wadau hao kwa lengo la kuitangaza Wizara, Taasisi zake na Serikali kwa jumla.

Awali Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny Mwaipaja, alisema kuwa kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia sekta ya mawasiliano imebadilika hivyo kongamano hilo litatoa fursa kwa washiriki kujadili, kujenga ukaribu na kukumbushana mambo muhimu ya mawasiliano na wadau ndani na nje ya taasisi za wizara.

‘‘Mawasiliano ya kimkakati yatatuwezesha sisi kama Wizara na Taasisi zake kutoa taarifa sahihi, kwa wakati na zilizochambuliwa vizuri’’, alisisitiza Bw. Mwaipaja.

Alisema kwa kuzingatia mabadiliko katika sekta ya mawasiliano kongamano hilo litasaidia kubadilishana mawazo na kujipanga kimkakati namna ya kutoa taarifa za Wizara na taasisi zake kwa umma.

 

Mada mbalimbali zilitolewa na wataalamu wa masuala ya Mawasiliano ili kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ikiwemo jinsi ya kufanya mawasiliano ya umma kimkakati na njia bora ya matumizi ya mtandao ya jamii katika kufikisha taarifa za Serikali na Taasisi zake umma.

Kongamano hilo lilihudhuriwa na wakuu wa vitengo vya mawasiliano vya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango ikiwemo, Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Mfuko wa  Self Microfinance, Bodi ya Wataalamu wa Ugavi na Ununuzi Tanzania (PSPTB), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Ofisi ya  Msajili wa Hazina (TR), Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Taasisi ya Uhasibu Tanzania  (TIA),  Taasisi ya Uhasibu Arusha (AII), Mfuko wa Uwekezaji wa UTT, Hazina Saccoss, Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma (PPAA) na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).

About the author

Alex Sonna