Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

WAZIRI NDALICHAKO ATAKA OSHA KUTOA ELIMU YA USALAMA NA AFYA KWA WENYE ULEMAVU

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akihutubia wajasiriamali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya usalama na afya kwa watu wasioona yaliyofanyika katika jengo la OSHA, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akizindua kitabu maalum cha watu wasioona chenye maudhui ya usalama na afya mahala pa kazi mara baada ya kufungua rasmi mafunzo ya usalama na afya yaliyotolewa kwa wajasiriamali wasioona jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria, Mhe. Yahya Masare (Mb), Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Bi. Khadija Mwenda. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Watu wenye Ulemavu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Rasheed Maftah na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona, Bw. Omari Amas.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akimkabidhi Fimbo nyeupe na kitabu maalum cha watu wasioona chenye maudhui ya usalama na afya mahala pa kazi kwa mjasiriamali asiyeoona Bi. Fadhila William wakati wa mafunzo hayo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akihutubia wajasiriamali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya usalama na afya kwa watu wasioona yaliyofanyika katika jengo la OSHA, jijini Dodoma.

Sehemu ya watu wasioona wakisikiliza maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Bi. Khadija Mwenda akieleza jambo wakati wa mafunzo hayo.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona, Bw. Omari Amas,akitoa taarifa wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya usalama na afya kwa watu wasioona yaliyofanyika katika jengo la OSHA, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na baadhi ya washiriki mara baada ya kuzindua mafunzo ya usalama na afya kwa watu wasioona yaliyofanyika katika jengo la OSHA, jijini Dodoma.

…………………………….

Na;.OWM – KVAU -DODOMA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameutaka Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) kuweka mkazo wa kukuza uelewa wa masuala usalama na afya kwa Watu wenye Ulemavu.

Prof. Ndalichako  ameyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya usalama na afya kwa watu wasioona Mkoa wa Dodoma.

Amesema mafunzo OSHA imekuwa ikitekeleza program ya mafunzo kwa makundi mbalimbali ikiwamo wajasiriamali na wachimbaji wa madini na kwa mwaka 2022 walifikiwa watu 11,204.

“Niipongeze Taasisi ya OSHA kwa kuendelea kuona umuhimu wa kutoa mafunzo haya na kuandaa chapisho kwa ajili ya watu wasioona, naagiza hakikisheni mnachapisha nakala za kutosha na kuzisambaza mikoa mingine na haya mafunzo muendelee kutoa hata kwenye maeneo mengine ili kuwezesha wafanyakazi na Watu wenye Ulemavu kuzingatia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi,” amesema.

Aidha, Waziri Ndalichako amesema masuala ya usalama na afya yana umuhimu sana katika maendeleo na ustawi wa watu duniani hivyo yanapaswa kupewa uzito unaostahili.

“Mathalani takwimu za Shirika la Kazi Duniani (ILO) za mwaka 2022, zinaonesha kuwa watu milioni 2.9 hupoteza maisha na wengine zaidi ya milioni 400 huumia kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi duniani kote na Tanzania ikiwemo,” amesema.

Vile vile, Prof. Ndalichako amesema magonjwa na ajali zitokanazo na kazi huisababishia dunia hasara ya zaidi ya asilimia tano ya pato lake ghafi la mwaka na hivyo kuhimiza uwajibikaji ili kubadilisha hali hiyo kupitia mafunzo hayo ambayo ni nyenzo muhimu ya kutusaidia kupunguza ajali na magonjwa katika sehemu za kazi ili kuongeza tija kwenye uzalishaji.

Naye, Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda, amesema mafunzo hayo kwa watu wasioona ni utekelezaji wa mwongozo wa ujumuishwaji na uimarishwaji wa huduma kwa watu wenye ulemavu nchini na taasisi hiyo ina jukumu la kuimarisha usalama na afya kwenye shughuli zao.

“Pamoja na kutoa mafunzo leo tumekuja na fimbo 100 kwa ajili yao na tutawapatia na kitabu maalum kilichochapishwa kwa nukta nundu na tumetengeneza baada ya kutembelea maeneo yao ya kazi na kuona shughuli wanazofanya,”amesema.

Mwenda amesema watu wenye ulemavu wanapofanya kazi kwenye mazingira hatarishi kuna hatari ya kuongeza ulemavu na mafunzo hayo ni muhimu katika kutengeneza kinga ili hali hiyo isiongezeke.

“Tunawafundisha wenzetu hawa ili washiriki vyema kwenye shughuli za kiuchumi, kwa kuwa takwimu za ILO za mwaka 2017 inaonesha asilimia moja hadi saba ya pato la taifa la nchi yeyote hupotea kwa kukosekana ujumuisho wa watu wenye ulemavu, hivyo tukitengeneza miundombinu mizuri wana uwezo wa kuzalisha na pato likaonekana katika kujenga nchi,”amesema.

Awali, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona, Bw. Omari Amas, amepongeza serikali kupitia OSHA kwa kuona umuhimu wa kuwapatia elimu hiyo ambayo itasaidia wajikwamue kiuchumi.

Kwa upande wake Mbunge wa Viti maalum, Mhe. Khadija Taya, amesema mafunzo hayo yataleta chachu kwa watu wenye mahitaji maalum kujikwamua kiuchumi na kuchangamkia fursa mbalimbali.

About the author

Alex Sonna