Featured Kitaifa

KINANA ATETA NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI TANZANIA,OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,  Akizungumza na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  17, 2023.(picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  17, 2023.

About the author

mzalendoeditor