Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

redwin

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

coinbar

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

kingroyal

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA VIONGOZI WA HALMASHAURI

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shughuli za uchimbaji makaa ya mawe, katika Kampuni ya Jitegemee Holdings, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Emmanuela Kaganda. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mkaa ya mawe, wakati alipotembelea Kampuni ya Jitegemee Holdings, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakikundi cha Mbalawala Women Organization, wakati alipotembelea kikundi hicho, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kutoka kulia ni Meneja wa Fedha Ester Mwamwezi na Meneja Uzalishaji wa Kikundi hicho, Rose Samweli.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa zinazozalishwa kutokana na makaa ya mawe na wanakikundi cha Mbalawala Women Organization, wakati alipotembelea kikundi hicho, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kutoka kulia ni Meneja wa Fedha Ester Mwamwezi na Meneja Uzalishaji wa Kikundi hicho, Rose Samweli. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia machine zinazotengeneza bidhaa za makaa ya mawe, kwenye Kikundi cha Mbalawala Women Organization, kilichopo Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma,

…………………………

*Ni kuhusu utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wajasiriamali

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Halmashauri zote nchini waweke mpango wa namna bora ya kuviwezesha vikundi vya wajasiriamali katika maeneo yao kupitia mikopo ya asilimia 10 ya makusanyo ya ndani ambayo itawawezesha kuendeleza miradi yao na kuleta tija.

“Badala ya kutoa mikopo ya fedha kidogo kidogo mnaweza kutoa fedha nyingi kwenye kikundi kimoja kimoja kama shilingi milioni 200 kukiwezesha kikundi husika kuanzisha mradi mkubwa ambao unaweza kuwaingizia fedha nyingi hivyo kuongeza tija”

Kadhalika Mheshimiwa Majaliwa amemtaka Meneja wa TARURA mkoa wa Ruvuma ashirikiane na Meneja wa TARURA wa wilaya ya Mbinga kufanya tathimini ya mahitaji ya matengenezo ya mtandao wa barabara katika maeneo ya uchimbaji wa makaa ya mawe na kuhakikisha zinapitika wakati wote ili kuwawezesha wawekezaji kufanya shughuli zao kwa ufanisi.

Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Januari 7, 2023) baada ya kutembelea na kukagua shughuli za uchimbaji wa makaa ya mawe katika mgodi wa kampuni ya Jitegemee Holdings ulioko katika kijiji cha Mdunduwalo, Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma.

Waziri Mkuu amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji hivyo ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lihakikishe linafikisha umeme wa gridi ya Taifa katika migodi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma ili kuwapunguzia wawekezaji gharama za uendeshaji.

Akizungumza baada ya kutembelea kampuni ya makaa ya mawe ya Jitegemee holdings, Waziri Mkuu amezitaka Jumuiya za Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga kuwekeza katika utengenezaji wa nishati ya mkaa wa kupikia kwa kutumia  makaa ya mawe ili kudhibiti ukataji wa misitu na kuhamasisha utunzaji wa mazingira.

Amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimetoa msisitizo na muelekeo wa uwekezaji ndani ya Chama ambao utawezesha kujiendesha kwa kujiongezea kipato. “Tumieni fursa ya uwepo wa makaa ya mawe kwa kuanzisha viwanda vya kutengeneza mkaa wa kupikia kwa kutumia vumbi la makaa ya mawe na hivyo kujiongezea kipato.”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jitegemee Holdings, Emmanuela Kaganda amesema shughuli za uzalishaji katika mgodi zilianza rasmi Mei 2021 na una uwezo wa kuzalisha tani 2,500 hadi 3,000 za makaa ya mawe kwa siku kwa mashine zilizopo kwa sasa. Hadi kufikia Desemba 2022, jumla ya dani 652,128.8 za makaa ya mawe zimevunwa.

“Hadi kufikia Mwezi Desemba 2022 kampuni imeshauza jumla ya tani 522,450.08 za makaa ya mawe        kwa wateja wa ndani na nje ya nchi. Kampuni imefanikiwa kusafirisha makaa ya mawe meli moja ya tani 22 kwenda nchini Congo DRC na mwezi huu wa Januari 2023 kampuni itasafirisha meli mbili za makaa ya mawe kwenda nje ya nchi. Meli moja ya tani 25,000 tayari ipo bandari ya Mtwara itaelekea Congo DRC na meli ya pili imeshafika nayo inapakia tani 55,000 za makaa kuelekea nchini Polland.”

Amesema kampuni yao imefanikiwa kuchangia shilingi bilioni 7.01 katika pato la Taifa, kati yake shilingi milioni 81.73 zimelipwa kwa halmashauri  kupitia tozo na ushuru mbalimbali na Shilingi Milioni 292 ni kodi nyingine za serikali ikiwemo PAYE, kodi ya zuio na SDL.

“Kampuni imeshalipa Mrabaha jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 3.59 na shilingi milioni 488 kama ada ya vibali vya kusafirisha mkaa nje ya nchi kuanzia Juni 2021 hadi Disemba 2022.”

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amekipongeza kikundi cha Mbalawala Women group kilichopo Ruanda, Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma ambacho kinajihusisha na utengenezaji wa mkaa wa kupikia kupitia makaa ya mawe na kwamba Serikali itaendelea kuwasaidia ili kuhakikisha wanaendelea na uzalishaji huo ambao ni muhimu katika utunzaji wa mazingira.

About the author

Alex Sonna