Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKEMEA UDANGANYIFU WA MITIHANI UNAOFANYWA NA WATUMISHI WA SERIKALI

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako ,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu (CWT)  kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango ulioanza leo Desemba 15,2022 jijini Dodoma.

KAIMU  Rais wa CWT, Dinnah Mathamani,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu (CWT) ulioanza leo Desemba 15,2022 jijini Dodoma.

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Bara, Christine Mndeme,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu (CWT) ulioanza leo Desemba 15,2022 jijini Dodoma.

  

SEHEMU ya Walimu wakifatilia hotuba ya Makamu wa Rais iliyosomwa kwa niaba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako (hayupo pichani)wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu (CWT)  ulioanza leo Desemba 15,2022 jijini Dodoma.

…………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

MAKAMU wa Rais Dk.Philip Mpango amekemea vikali udanyanyifu wa mitihani unaofanywa na baadhi ya watumishi wa Serikali wasio waaminifu na kuwataka Wakuu wa shule kutojiingiza katika udanganyifu huo.

Onyo hilo limetolewa  leo Desemba 15,2022 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako wakati akifungua Mkutano Mkuu wa  Chama Cha Walimu (CWT) kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango.

Prof.Ndalichako,amesema  kuna walimu wachache wamekuwa na tabia isiyofaa ya kushiriki katika kuvujisha na kusambaza mitihani kwa wanafunzi kwa maslahi yao binafsi  au kupandisha hadhi ya shule ionekane ina ufaulu mzuri.

“Niwaonye walimu wa namna hii kuacha tabia hii na badala yake wafanyekazi kwa weledi na ubunifu ili kuwasaidia wanafunzi kupata maarifa na kufaulu vizuri kwenye mitihani yao,

“Anayeleta udanganyifu kwenye mitihani tutamkamata, walimu hakikisheni mnakataa kujiingiza katika udanganyifu huo na kuwa makini zaidi kwenye masuala ya mtihani,”amesema Prof.Ndalichako
Waziri Ndalichako ameiagiza TAKUKURU na Jeshi la polisi kuchunguza matukio yote na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wote watakaobainika kuwa walihusika na udangajifu  wa mitihani hiyo ya Taifa,”alisema

Aidha amewataka walimu kuzingatia maadili na misingi ya kazi zao kutokana na baadhi ya walimu kujihusisha Kimapenzi  na Wanafunzi  ili kupunguza vitendo vya ukatili ambavyo vimeendelea kushamiri nchini.

“Natoa onyo kali kwa walimu wachache wenye tabia mbaya zinazochafua sura ya walimu katika jamii, serikali itaendelea kuwashughulikia walimu wenye mwenendo mbaya na kuwachukulia hatua kauli za kisheria,”amesema.

Kuhusu Makundi Prof.Ndalichako amesema kuwa Serikali inatambua kuwa ndani ya CWT kuna tatizo la makundi katika hivyo  serikali haitofumbia macho suala hilo.
“Makundi hayajengi yanafanya kushindwa kutetea maslahi ya walimu na badala yake mnatetea maslahi binasfi nawasisitiza kutumia mkutano huo kurekebisha tofauti zanu,”amesema Prof.Ndalichako

Kwa upande wake Kaimu Rais wa CWT, Dinnah Mathamani, amesema chama hicho kinaridhiwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutatua kero zinazowakabili walimu.

Naye Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Bara, Christine Mndeme, amewaasa walimu kutokubali kuchonganishwa na kuondolewa umoja wao kwa kuwa ni wazalendo wa kwanza.

Awali akiwasilisha risala ya chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu Japhet Maganga, amesema  CWT inaomba serikali kuona uwezekano katika bajeti ijayo kutoa nyongeza ya mshahara itakayoendana na gharama halisi ya maisha.

 ”Nyongeza ya mshahara ya kila mwaka izingatiwe ili kuepuka watumishi kurundikana katika kidato kimoja cha mshahara na hivyo kuwanyima haki wengine kwa kuzingatia umri kazini.”amesema Maganga

About the author

Alex Sonna