Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Millenium Challenge Corporation (MCC) Bibi Alice Albright Jijini Washington DC nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Millenium Challenge Corporation (MCC) Bibi Alice Albright mara baada ya mazungumzo yao Jijini Washington DC nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Millenium Challenge Corporation (MCC) Bibi Alice Albright pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Jijini Washington DC nchini Marekani